Nzuri mpemba za kwako babaHahahaha......
Habari za asubuhi mpendwa
Za kwangu njema/salama kabisa mamaNzuri mpemba za kwako baba
Sijui Kwanini nilipoionahiyo picha nilijua itakuwa ni wewe hata Kabla sina angalia nani kaiweka😁😁😁Morning...View attachment 1698937
Tumshukuru Mungu kwa uzimaZa kwangu njema/salama kabisa mama
umekaaa kindoa ndoa mkuu
Really...umevaa kwa ajili yangu!ohoooo thanks ❤️...haki hadi mwili umenisisimka.nakushukuru kwa kunisikiliza,kutekeleza ombi langu.asante!asante!asante mpenzi😘😘😘ubarikiwe
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23]Sijui Kwanini nilipoionahiyo picha nilijua itakuwa ni wewe hata Kabla sina angalia nani kaiweka[emoji16][emoji16][emoji16]
AminaTumshukuru Mungu kwa uzima
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1698772
Sina maana kuwa unywe hiyo wine, sasa wine si ndo utatapika kabisa?Najikaza tu pesa ya wine sina
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shemeji ni nani aliyekupiga hiyo picha.yan ni jinsia gani !ninawivu kisado kimejaa