T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,090
- 30,487
Wewe ndo muolewaji ujichangie tena!![emoji1]Na mimi nitachanga kbsaa tena ya doble alafu naenda peke yangu[emoji854]
Hiiiiiiiiii!! Bhagosha
Wewe ndo muolewaji ujichangie tena!![emoji1]Na mimi nitachanga kbsaa tena ya doble alafu naenda peke yangu[emoji854]
Hongera mkuu kwa kupata kifutio cha simu[emoji23][emoji23]View attachment 1697573Kitambi cha kufutia simu
[emoji7][emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi wee Ngosha una nini lakini? Nimecheka km chizi wallah.Naomba niingize hata kichwa tu mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unafaudu maisha tyuuh.Juu mawinguni [emoji23][emoji23] nashukuru mungu sinywi tungi maana kupanda izo ngazi afu ni mzee wa kibati Kuna kuporomoka.
Ipo vzuri San yaaaanKatika vitu vilivonishinda ni pamoja na kuvaa suruali za kubana mapaja ni mwendo wa size tu ila sio maparashuti [emoji23][emoji23]View attachment 1697815
Tutakua tunatafuta namna nyingne ya kufanya ili mgeni atulize minyoo wake. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uje ila sasa siku za dagaa tutafanyaje?[emoji3][emoji3]
Hayaga ntemi ntale omantuzu!
Basi waacha ku normalize hii kitu, siyo cha kawaida kwa jamii ya wastaarabu hata kama ni tabia waiweke private hamna mtu atawafuata huko kuwauliza, hapa tumefahamiana wadau wengi na kubadilishana mawazo hapa na pale, kushare moments na changamoto za hapa na pale...ila wengi wanamute kwa sababu hizi, siyo sawa kama mtu anafirwa ni tako lake ila asituletee huku, hizi ni harakati wanazofanya kwenye uzi huu siyo sahihiUkijaribu kukemea hayo mashoga utaandamwa sana hapa. Yana nguvu huko duniani mpaka hapa JF. Unafiki mtupu !!!
Subiri yaje na "loh jomoneeh weweh kumbe wateseka tyuuuu"...Kazi sana yaani !!!Basi waacha ku normalize hii kitu, siyo cha kawaida kwa jamii ya wastaarabu hata kama ni tabia waiweke private hamna mtu atawafuata huko kuwauliza, hapa tumefahamiana wadau wengi na kubadilishana mawazo hapa na pale, kushare moments na changamoto za hapa na pale...ila wengi wanamute kwa sababu hizi, siyo sawa kama mtu anafirwa ni tako lake ila asituletee huku, hizi ni harakati wanazofanya kwenye uzi huu siyo sahihi
Kbsa yaniWeeee usiniambie [emoji28][emoji28]
VizuriKatika vitu vilivonishinda ni pamoja na kuvaa suruali za kubana mapaja ni mwendo wa size tu ila sio maparashuti [emoji23][emoji23]View attachment 1697815
[emoji23][emoji23][emoji23]Oh umechelewa binti. Ngosha naona tayari wameshambananisha huko. Labda atairudisha tena kama ulivyomuomba.
Nipe location pleaseYaap napiga....ur welcome
Staki[emoji17]
[emoji849]Wewe ndo muolewaji ujichangie tena!![emoji1]
Hiiiiiiiiii!! Bhagosha