cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,159
- 181,299
Kuelekea ghorofani wacha weeAfter work back to home .View attachment 1697740
Kuelekea ghorofani wacha weeAfter work back to home .View attachment 1697740
Alipost picha wanavalisha pete ya uchumba na mchumba akeKwani T 1990 ELY aliweka nini jaman..
Mbona Shemeji ananiweka roho juu huyu

Napenda wanaume wanao vaa suruali za cadetAfter work back to home .View attachment 1697740
sio modo
Ohoooo...hatua nzuri wamefikia.Mungu azidi kuwasimamia kwenye kila hatua.Alipost picha wanavalisha pete ya uchumba na mchumba ake![]()
Na mimi nitachanga kbsaa tena ya doble alafu naenda peke yanguOhoooo...hatua nzuri wamefikia.Mungu azidi kuwasimamia kwenye kila hatua.
Sasa wewe T 1990 ELY ulishindwa kunitag kweli.
Usisahau kutoa card ya mchango sasa.

Aiseeeeee!!
Weeee usiniambie 😅😅Na mimi nitachanga kbsaa tena ya doble alafu naenda peke yangu![]()
Juu mawinguniKuelekea ghorofani wacha wee

nashukuru mungu sinywi tungi maana kupanda izo ngazi afu ni mzee wa kibati Kuna kuporomoka.Katika vitu vilivonishinda ni pamoja na kuvaa suruali za kubana mapaja ni mwendo wa size tu ila sio maparashutiNapenda wanaume wanao vaa suruali za cadetsio modo
![]()


Wengine ndo tunatoka kuhemea bamia na mchicha magengeni tuanze kujipikilisha dah!
Oh umechelewa binti. Ngosha naona tayari wameshambananisha huko. Labda atairudisha tena kama ulivyomuomba.SYB sasa hivi ndo naona tag yako.
Mbonakaifuta tena jamani...huyu ngosha huyu
T 1990 ELY naomba ukirudishe hicho Alichoniitia SHIMBA YA BUYENZE tafadhaLi
Yaap napiga....ur welcomeMkuu unajua kupiga gitaa?
Aki napenda sana jmn dah
Uje ila sasa siku za dagaa tutafanyaje?😀😀Dea naomba niwe mgeni wako kila siku,![]()
Eti kujipikilisha 😄😄Wengine ndo tunatoka kuhemea bamia na mchicha magengeni tuanze kujipikilisha dah!
View attachment 1697822
Aiseeeeeee!!Ohoooo...hatua nzuri wamefikia.Mungu azidi kuwasimamia kwenye kila hatua.
Sasa wewe T 1990 ELY ulishindwa kunitag kweli.
Usisahau kutoa card ya mchango sasa.
qeen jojoAlipost picha wanavalisha pete ya uchumba na mchumba ake![]()
SHIMBA YA BUYENZEOh umechelewa binti. Ngosha naona tayari wameshambananisha huko. Labda atairudisha tena kama ulivyomuomba.
ChakoriiKwani T 1990 ELY aliweka nini jaman..
Mbona Shemeji ananiweka roho juu huyu