Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,388
- 191,462
Asante tu! Kwani lazima mtu uvae pete vidoleni 😂Tafsiri za waswahili au sio 🥴
Asante tu! Kwani lazima mtu uvae pete vidoleni 😂Tafsiri za waswahili au sio 🥴
😁😁 karibu tumalizie !Hadi minyoo tumboni inacheza cheza lol.
[emoji8][emoji7][emoji7][emoji7]
Mswahili akishakosa kazi ya kufanya atakwambia hata kuvaa nguo una lako jambo 🙂Asante tu! Kwani lazima mtu uvae pete vidoleni 😂
Kwan ukisema mmependeza kuna mtu atazimia uongo[emoji101]Uchokozi tu....
Wamependeza
Hahahah haya bana we ata ukitembea na chupi ni uamuzi wako tuMswahili akishakosa kazi ya kufanya atakwambia hata kuvaa nguo una lako jambo 🙂
Mkuu biashara ya hayo mazao inalipa sana enh? Unaweza nipa mchanganuo wake kama hutojali?
Aya banaFree labour [emoji846]View attachment 1696799
Nakuja dea[emoji16][emoji16] karibu tumalizie !
[emoji3590][emoji3590][emoji8]
SYB sasa hivi ndo naona tag yako.
Aah biscuitSuger cravings[emoji3061][emoji3061]View attachment 1697570
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Suger cravings[emoji3061][emoji3061]View attachment 1697570
Dea naomba niwe mgeni wako kila siku, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]