ismail hassan
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 696
- 1,629
Miss u moaaaah.
Zao la mkonge halipo tena active kwenye mazao ya kibiashaPicha ya pamoja na mwenyekiti wa bodi ya wakulima wa mkonge...View attachment 1697391
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndani ya dela safi, umenoga mno dea.
Kuna siku marafiki tutatengana
hatutaonana tena wala kuwasiliana.
Wengine umri utakuwa umeenda
sana wamekuwa wazee na wengine hawatakuwepo duniani.

Tutakumbuka
tulivyokuwa tunachat
tutakumbuka tulivyokuwa tunapendana
na kushirikiana
tutakumbuka tulivyokuwa vijana wenye nguvu
tukikimbizana
huku na kule lkn hatutaweza kuwa pmj tena.
Labda bado tutakuwa na picha
za marafik zetu tutaziangalia na kukumbuka mengi.

Watoto na wajukuu zetu watatuuliza 
?"
Kwa maskitiko tutawaambia "Ni wapendwa wetu tulioshirikiana na kupendana nao" 

Huzuni zitatufunika maana hakutakuwa na njia ya kuonana tena zaidi ya kukumbuka enzi zetu!
Huu ni wakati wa kufurahi na marafiki

na kutendeana mema ili tusije kujuta baadae.
Huu ni wakati wa kupendana na kila aliye karibu na wewe.

Onyesha upendo
na moyo
wa furaha kwa kila unaechat nae kwa sasa.

Tunza kumbukumbu za yale mazuri unayotendewa na marafiki zako
Tunza picha zake kwa bidii

Kama unakubaliana na mimi wakumbushe marafiki zako wote kuwa upendo
ni kitu cha thamani sana!!

Mkumbushe kila unayechati naye kuwa hataendelea kuchat na wewe milele hivyo autumie huu wakati
vizuri. 

Kama na mimi ni mmojawapo nikumbushe kukuthamini na kukutendea mema 

Ameeeeen babuuuuuhMUHIMU```
Kuna siku marafiki tutatengana
hatutaonana tena wala kuwasiliana.
Wengine umri utakuwa umeenda
sana wamekuwa wazee na wengine hawatakuwepo duniani.
Tutakumbuka
tulivyokuwa tunachat
tutakumbuka tulivyokuwa tunapendana
na kushirikiana
tutakumbuka tulivyokuwa vijana wenye nguvu
tukikimbizana
huku na kule lkn hatutaweza kuwa pmj tena.
Labda bado tutakuwa na picha
za marafik zetu tutaziangalia na kukumbuka mengi.
Watoto na wajukuu zetu watatuuliza
"Ni kina nani hawa?"
Kwa maskitiko tutawaambia "Ni wapendwa wetu tulioshirikiana na kupendana nao"
Huzuni zitatufunika maana hakutakuwa na njia ya kuonana tena zaidi ya kukumbuka enzi zetu!
Huu ni wakati wa kufurahi na marafiki
![]()
![]()
![]()
na kutendeana mema ili tusije kujuta baadae.
Huu ni wakati wa kupendana na kila aliye karibu na wewe.
Onyesha upendo
na moyo
wa furaha kwa kila unaechat nae kwa sasa.
Tunza kumbukumbu za yale mazuri unayotendewa na marafiki zako
Tunza picha zake kwa bidii
Kama unakubaliana na mimi wakumbushe marafiki zako wote kuwa upendo
ni kitu cha thamani sana!!
![]()
Mkumbushe kila unayechati naye kuwa hataendelea kuchat na wewe milele hivyo autumie huu wakati
vizuri.
Kama na mimi ni mmojawapo nikumbushe kukuthamini na kukutendea mema![]()

ww ni mkulima wa mkonge mkuu?Hapo kwenye hizo pete duh 😁
Tafsiri za waswahili au sio 🥴Hapo kwenye hizo pete duh 😁
Hadi minyoo tumboni inacheza cheza lol.