Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji144]
IMG-20210206-WA0030.jpg
 
Ongezea kupiga msosi bro. Mwili niliouona siku ile ukiwa umepigwa na Malaria siyo mwili wa Kisukuma ule. Hatuna Wasukuma wenye miili kama ya akina Kagame sisi [emoji51][emoji51][emoji51]
Hahahahahahahahahahaha.......bhageshi nipo nakula mno ila mwili wangu ulisha goma kabisa kunenepa hata sijui kwa nini tu.
 
Mtu anayeweza kumfikisha mwenzie mawenzi[emoji1]

Mawenzi ni wapi na mimi nilale pembeni yako ili nikiamka nikufikishe?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee thubutu mie parking imejaa, tena mie ni jimbo halali la mheshimiwa fulani aliyepita kwa kura nyingi na kishindo kikubwa. Kwahiyo swez kuuza nafas kwa mgombea mwingine.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nna Pete kidoleni, usaliti kwangu sijafunzwa.
 
Back
Top Bottom