Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ya muda huu huu... tukikitana mtaani fanya kama hunijui
20191003_001959.jpeg
20191003_000450.jpeg
 
Si utarudi tena jamani eti?? Aise kweli wewe ni introvert!!
Nilishamaliza
Kuna kipindi nilihaha...
Bwana wee..wakati wa kuondoka tuliondokea chuo tukaenda kwenye mission kanisani mkoani huko,,ilivyoisha nikarudi mbeya.
Sasa kipindi narudi Dom Bwana we tangu wahamishe stand toka jamatin kwenda nane nane ,nilikuwa sijawahi fika
Kasheshe iliyonipata...nilishukia nane nane,sipajui..
Naambiwa sijui panda ya sabasaba..ukifika utapanda Sasa yanayoenda kwenu.
Tangu kituo kihamie sabasaba Mimi sijawahi kwenda.
 
duuh yaani ingekuwa ni mimi ndiyo nimesomea dodoma nahisi hadi saa hizi nigeshapanda hadi lile treni la kati japokuwa ni baya yaani ninavyopenda kuzurura hivi ningeshaomba hadi niingie ndani ya bunge nikalione
 
Mimi sijui popote zaidi ya chuo na stand.
Hata huko msalato kwenye nyama choma sijawahi Kwenda.
Mipango na St John's nimeenda Mara 1 Napo ilikua kanisani.
Ukinambia Rudi pekeyako Wala siwezi kufika
 
Back
Top Bottom