Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Huko town Mungu akijaalia nitakuja.daah uwage unatembea mdogo wangu mjini hapa utaja nunuliwa bila kujijua anyway lini utakuja kunitembelea jamani??
Huko town Mungu akijaalia nitakuja.daah uwage unatembea mdogo wangu mjini hapa utaja nunuliwa bila kujijua anyway lini utakuja kunitembelea jamani??
Muulize atakwambia.Kwani kasoma chuo gani na kamaliza mwaka gani??
Sawa dadaSi kwa kuonana mpenzi
Uchawi upo jamani..uchawi wa kibudha wa mshana.
Tangu saa 1 asubuhi hasi Sasa nipo humu.
Kesho sirudi humu..
Nilishakamilisha Uzi huu kwa picha ya mtu fulani
Karma
Mbona umeenda mbali huko.
Mimi nimepiga hesabu za Rika kutokana na mwaka uliomaliza chuo.
Dadangu nae kamaliza huohuo halafu mmesoma chuo kimoja.
Karibu sana PM![]()
Na mimi nipo huku huku, sawa Mungu akijalia tutapanga siku tuonane japo siamini kama kweli umemaanisha ulichokisema maana watu wengi humu hawapendi shobo.Kwa Makonda mama
Kwani kasoma chuo gani na kamaliza mwaka gani??
Na mimi nipo huku huku, sawa Mungu akijalia tutapanga siku tuonane japo siamini kama kweli umemaanisha ulichokisema maana watu wengi humu hawapendi shobo.
We sio bahili niamini mimi. Mimi mpaka sijipendi kwa ubahili wangu. Labda kwa sababu sina hela![]()



sasa si bora hata wewe uhakika upo mamaKaribu sana mdogo wanguHuko town Mungu akijaalia nitakuja.
Oohh kumbe hiyo 90 ni mwaka wako wa kuzaliwa??IFM na yeye?. Mi niko late twentieth boo. Mwakani 30yrs seme hapo ndo mwisho wangu wa kukua
Sawa shukrani sana dadaWeee. Mi napenda watu mpenzi. Tupange mpenzi tuonane
Cole naomba picha yako tafadhali, usidhani sikuoni unavyopita kimya.Online Life