Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😂😂😂😂nimeandika nimefuta nimeandika nikafuta tena..

Ila sijajua kwanin mechi za kirafiki limekuja kichwani🤣
Kwani ulikuwa unataka kuandika nini mbona umefuta furaha sana na wewe😅😅

Sasa mechi za kirafiki na Rafik gani😄😄nitakukata makonzi
 
Back
Top Bottom