sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,729
- 8,909
Mmh ukweli gani sasa?Hapana ni wakweli
Mmh ukweli gani sasa?Hapana ni wakweli
[emoji3][emoji3][emoji3]Ule aliousema[emoji3]
Salama kabisa hofu kwakoNipo mwamba.
Habari yako...umepotea snaa
😂😂😂tuombe uzima tu tuje tuthibitishe😄😄😄
Mpaka alipofikia nna uhakika hawezi.
Piga nguchu🍻🏃♂️😆Wanywa pombe ni wabishi kweli[emoji3]
Jackie katisha
Naam mkuumkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Habari za Saizi ndugu zangu, kama kuna mtu ana shida na PESA aje hapa kwenye ATM za NMB yaani hakuna watu kabisa kweupeee muda huu......!!
Sent using Jamii Forums mobile app
I swear 100% sitaniii.Hakyamama tena tutabakana black...
Nyama[emoji1786][emoji1786]
Sijawaambia wajewalevi wanaotaka kuacha si wamekuja
[emoji23][emoji16][emoji16]unaogopa kushikwa miguu..
Unaonekana ni mkoloni we dada[emoji28][emoji28]
MnoWanywa pombe ni wabishi kweli[emoji3]
Safi vipimambo