Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255
Ngoja aseno mfungwe.You'll never walk alone, YNWA liverfool!!View attachment 1683054
Haki tunawaweka katika mazingira magumu hawa makamanda😅😅😅Ewaaa!
Hawa wasafísha kucha kumbe wanafaidi sana eeeh, kweli kila mtu anakula ofisini kwake!!
Hii ni hatari sana, napiga marufuku kabisa mtu asiguswe. Kuna mkongo mmoja anawafaidi hatari, halafu wadada wanamsifia eti ana mikono mizuri....nasema hapa wanaliwa kimasiharaHaki tunawaweka katika mazingira magumu hawa makamanda![]()
Mno yaaniHaki tunawaweka katika mazingira magumu hawa makamanda![]()
Subiri tuPole sana ila gari ndio linafika 80km/hr.
Haki tunawaweka katika mazingira magumu hawa makamanda![]()




nimecheka km mwehu wallah, na wee ulivyo unajichetua kidogo utashangaa anasahau kudai hela ya malipo.AmeeeeeeeenSometimes we’re waiting for God to change the circumstances, but the truth is, God is waiting on you. Arise from that depression. Shake off the blahs. Shake off what hasn’t worked out. This day is a gift.
Nyama ziko ndani
Hii ni abuse hata kama kaiba.