Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,483
Wewe 😬😬 Huyu ni mkaka mwenzio ujue 😐Nitakaoa ngoja akamilishe masters kwanza 🏃♂️
Wewe 😬😬 Huyu ni mkaka mwenzio ujue 😐Nitakaoa ngoja akamilishe masters kwanza 🏃♂️
[emoji38]tulikuwa tunajadiliana na kupeana mawazonimemuonea huruma huyo alikua anabishana na ww
Si kama vilaza wa humu 😎[emoji23][emoji23][emoji23] atakuaibishaje sasa na wee?
Yesu wanguuuuuWewe 😬😬 Huyu ni mkaka mwenzio ujue 😐
Nyie ndo wenye hela za hii NnchiBreak-haraka View attachment 1683998
Si unajua mazoea yakizidi adabu inapotea ee..Ehee..Upo km rafik angu yaan yeye akiwa anasafishwa hivyo anakua uso wa beberu, utadhan ana ugomvi nao, bas mie huwa nacheka mbavu sina, mwanzon nilijua hapendi ila anajilazimisha, kumbe akaja nambia km wee ulivosema.
Hongera kipendhiiiiiii heshima muhimu.
Ushachanika huomkeka nimeshinda huu[emoji3]
Huwezi jua pengine zawadi ni biskuti tu[emoji23][emoji23]mapenzi yananogeshwa na vitu vidogovidogo tu.Wamesikia dongo nono aseee
👏👏🥂🥂🥂Mhhh!! Mrembo unaguu zuri, nimelielewa guu lako mama lake😋😋, guu la bia.
Niambie 😅😅chibonge
Wanywa pombe ni wabishi kweli[emoji3]Kunywa pombe sio ulevi,
Kunywa hakuzui mtu kumtumikia mungu,
Sio kila anaekunywa pombe anakua kalewa chakari,
Hela zitaisha bila ata pombe,
Msuko mmoja wa maana wa mwanamke ni zaidi ya cret mbili za a Serengeti lite[emoji482],
Dunia sio salama ata moshi(magari na n. k) na vyakula vinaharibu afya,
Kwaio kunywa pombe kwa kiasi hakuna shida as long as unakunywa kwa starehe yako na kipimo,
Piga beer [emoji482] kwa kiwango maaalum,
Wanawake ambao hamtaki wapenzi wenu mnywe pombe ni wale ambao hawataki kuwapa alone time wapenzi wao everytime anatak awe nae,
Men do need some space,
Ni hayo tu.
Hakyamama tena tutabakana black...Kwa huo mguu wako Unipe chance ya kukupaka rangi na kusugua miguu lazima nikubake tu hamna namna.