Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹

Weee baba wewe mbona muongo hivyo?

Unasimulia ndoto au hadithi za Abunuwasi??

Mimi wa kumiliki mali zote hizo? 😹

Na jina umenipatia lol!
Jina unalipenda hilo la Patricia, utafanya mdada wa watu P akapigwe picha na haters wa Lamomy huko kkoo wajue ni mimi..!! 😹😹

Na kamzigo nyuma umenipaaaa 😹😹😹

Kantry mwehu sana, kukuchukia weee kiumbe kazi sana..!! 😹
Utanisamehe jana niliamua kusema ukweli baada ya kuona unataka kumuongopea Binti wa watu, sio poa bana
 
Kuvimiliki si shida unaweza! Ila alipotaja kuwa ulipata kiwanja Mbweni vikiwa rahisi.

Hapo ndipo si kukubali maana historia ya Mbweni naijua vilivyo. Kutoka makazi ya wavuvi wa kipemba, hadi kianzishwa Maputo. Enzi hizo Wafanyakazi wa chuo cha Usalama ndiyo wliokuwa wanalima matikiti.

Nakumbuka enzi za akina Afande Tibaijuka na watu kama Bruno ndiyo walikuwa na maeneo makubwa upande wa Mbweni Mpiji na hata huko Mbweni JKT wakati wa matamasha ya ufuska na mabangi.

Ikaja enzi za kupima viwanja 20,000 na wizara ya ardhi. Walio pata viwanja hivyo wengi walikuwa ni Wafanyakazi wa serikali.

Kwa umri wenu, kumiliki viwanja mbweni enzi hizo ni big no! Ila kuwa na kiwanja au ghorofa kwa sasa Mbweni ni sawa, maana hela zinatafutwa na wenye nazo ni umri wenu akina Lamomy
We dogo tumiaga akili basi.

Mtu aliyenunua kiwanja mbweni wakati kinauzwa mil 40 au mil 50, kwa sasa kiwanja hiko hiko kitakua mil 200+. Na hiko ndio nilichokua nikisema

Hayo mambo ya historia ya nini na nani kayasema?
Mfano wa pili: Mtu aliyenunua kiwanja goba miaka Saba nyuma kwa mil 30 au mil 40 sasa hivi kiwanja hiko hiko thamani yake itakua mil 100+, hapo ndio tunasema mtu alinunua bei ikiwa haijachangamka kama sasa.

Mfano wa mwisho: IST kwa sasa inauzwa mil 22, lakini miaka mitano nyuma ilikua inauzwa mil 12. Hivyo mtu aliyenunua IST miaka mitano nyuma tunasema alinunua bei ikiwa haijachangamka kama sasa

Hapo hujaelewa nini?
 
Humu anazurura sababu ana vijana wake pale dukani hata asipoenda mwezi mzima biashara inaenda kama kawaida. Hata akienda yeye busy na simu tu labda wawepo wale wateja wake wakubwa ambao wengi ni wacongo

Yes ghorofa analo na ndio anapoishi yeye dada wa kazi, kijana mmoja, dogo mmoja hivi na kabinti flani hivi ka ndugu. Hawapo wengi sana.
Tatizo nabadilisha sana simu, ila ningekuonyesha hata upande tu hilo ghorofa, ni ghorofa haswaa

Ukiacha hizo za kibada kigamboni, pia Kuna sehemu panaitwa vikunai karibu na huko huko kibada napo ana mjengo japo sikuwahi kuuona Wala kujua kama kamaliza au bado.

Hii ya pharmacy nilikua sijakueleza deep vizuri, biashara ilikua ya pharmacy ila baadae ilipokua vizuri sana alianzisha polyclinic hapo hapo, so hapo Kuna pharmacy na polyclinic pia hapo hapo na inafanya vizuri tu.
Ni mpambanaji na pesa ameipata kweli, sijui nani kamfikisha hapo lakini ndio kafika hiyo level

Hana mkono mfupi, sio mchoyo anajitoa sana ukiwa karibu nae suala la vipackage na miamala ya hapa na pale Wala sio tatizo utafurahi sana
Basiiiiiii umemaliza Country!! Maelezo yako yamenyooka kabisa.

Kwa habari ya kusaidia iko humu humu haujadanganya, na kuna muda anasaidia kupitia watu wengine, yaani mfano mimi nimpe mtu mwingine hela atoe kwa niaba yangu, Hii habari tunaojua tunajua.

Afu Country mbona umekuwa mtu mwema sana siku hizi unatupambania sana.
 
Ahsante sana, uzuri kumbe mifano unayo. Huyu huwa anajifanyisha hivi ili kukwepa kusaidia mtu ambaye serious anahitaji support flani au kushikwa mkono.

Sababu yako wewe ndio nikaona niandike ukweli ili siku ukiamua upite hiyo njia alafu akizingua basi ujue tu rmekufanyia roho mbaya. Lakini nina uhakika kwako hawezi chomoa

Sasa hivi umri inabidi mambo mengi ya hovyo niweke kando, nina forty now so lazima nibadilike zaidi🙏
 
I
Kuvimiliki si shida unaweza! Ila alipotaja kuwa ulipata kiwanja Mbweni vikiwa rahisi.

Hapo ndipo si kukubali maana historia ya Mbweni naijua vilivyo. Kutoka makazi ya wavuvi wa kipemba, hadi kianzishwa Maputo. Enzi hizo Wafanyakazi wa chuo cha Usalama ndiyo wliokuwa wanalima matikiti.

Nakumbuka enzi za akina Afande Tibaijuka na watu kama Bruno ndiyo walikuwa na maeneo makubwa upande wa Mbweni Mpiji na hata huko Mbweni JKT wakati wa matamasha ya ufuska na mabangi.

Ikaja enzi za kupima viwanja 20,000 na wizara ya ardhi. Walio pata viwanja hivyo wengi walikuwa ni Wafanyakazi wa serikali.

Kwa umri wenu, kumiliki viwanja mbweni enzi hizo ni big no! Ila kuwa na kiwanja au ghorofa kwa sasa Mbweni ni sawa, maana hela zinatafutwa na wenye nazo ni umri wenu akina Lamomy
Hata hivyo sina uwezo huo wa kununua plot mbweni hata ningekuwa miaka hiyo unayosema..!!
 
Ahsante sana, uzuri kumbe mifano unayo. Huyu huwa anajifanyisha hivi ili kukwepa kusaidia mtu ambaye serious anahitaji support flani au kushikwa mkono.
Wapo wengi humu ….

Sababu yako wewe ndio nikaona niandike ukweli ili siku ukiamua upite hiyo njia alafu akizingua basi ujue tu rmekufanyia roho mbaya. Lakini nina uhakika kwako hawezi chomoa
Huna deni kama mama yenu 😂😩
Sasa hivi umri inabidi mambo mengi ya hovyo niweke kando, nina forty now so lazima nibadilike zaidi🙏
Awesome 👏🏻
 
Basiiiiiii umemaliza Country!! Maelezo yako yamenyooka kabisa.

Kwa habari ya kusaidia iko humu humu haujadanganya, na kuna muda anasaidia kupitia watu wengine, yaani mfano mimi nimpe mtu mwingine hela atoe kwa niaba yangu, Hii habari tunaojua tunajua.

Afu Country mbona umekuwa mtu mwema sana siku hizi unatupambania sana.
Sitaki kuamini umeokotwa na maneno ya huyu tapeli..!! 😹
 
Back
Top Bottom