Fortnox
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,175
- 11,244
ninjacoming of ageView attachment 1682731
ninjacoming of ageView attachment 1682731
😂😂alijipiga risasi aliona ni ufala kuuliwa na beberuWajerumani wanashangaa shangaa kuja kushtuka Mkwavinyika Mkwawa keshajinyonga tayari. Huwa hawapotezi muda [emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaaniWajerumani wanashangaa shangaa kuja kushtuka Mkwavinyika Mkwawa keshajinyonga tayari. Huwa hawapotezi muda [emoji16]
Kujiua ni dhambi ujue[emoji23][emoji23]alijipiga risasi aliona ni ufala kuuliwa na beberu
Ewaaa!
una na dawa za kupakaComing
Guu la bia hilo, hii ni massage au?
Mandhari mazuri.
Dah kila nikitafakari huyu mwanamke cheo alichonipa namtafutia bonge la adhabu[emoji38][emoji38]oyaa mchambuzi wa vinywaji nchini.....
mkuu...
hahahahahhahaha st Annie alinichekesha sana.....nilicheka kinomaDah kila nikitafakari huyu mwanamke cheo alichonipa namtafutia bonge la adhabu[emoji38][emoji38]
Sasa sijui mbele ya safari kupojeBasi wahehe waliojinyonga Moto unawahusu
Chaaaa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Cc hapo kwenye ulanzi acha tyuuh, unaujua vizuri wee? Mwenzio bas nagema mwenyeww kwenye mbeta zake, lita 4 namaliza kunywa, ulanzi unavonoga unafanya lyo lyo lyo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wana akili za darasani na za maishaHapo kichwani wapo vizuri umepatia na wapare pia, nakumbuka o level class letu, tulikua tunakimbizwa na mpare, kuja advance lol wahehe wawili walikua wanashindana kukimbiza class letu.
Hongera zao kwa hilo.
Hivi kutafuna nako kuna mjadala??Sasa 3 3 unatafunaje? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au unabubutua?