Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,846
- 236,205
Huku tulikuwa na outreachUmenikumbusha mambo ya Easter conference, jamani kukesha kuimba, kusali na kuomba. Tatizo ile sehemu kulikua na mbu mno, nilivorudi home nlipatwa na malaria kalii.
Yaani [emoji91][emoji91],kuzuri mno pamoja na changamoto zote ndogondogo .