Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,499
- 235,200
Nimesema Mimi[emoji3526]Hiyo ni miziki ya asili nani kasema?
Nimesema Mimi[emoji3526]Hiyo ni miziki ya asili nani kasema?
[emoji848][emoji848] hapanahapa kwenye gari??
kama kawaida siti ya mbele
Utani tuNiishie tu kukushangaa 😐😐
SawaUngezungumzia ngoma za kisafwa na kisukuma apo sawa
IlishaishaNgoja nikukwapue ilo teni.
Una muonekano kama Kayaman🍁Mtwara, Kitaya Mambo yalivyokua sio Mambo last year before electionView attachment 1682634
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamniiijojo manyota ya nn??
au unaamanisha niedit niweke nyota nyota
Mimi wa kijijiniWanaokaa mjini teni ela ndogo
Sisi wa rural natamba nalo wiki..
njoo uniweke hayo mabite.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamniii
Namaanisha ma lovebite
Woyooooooooooh nmetoka kula chakula km hiki leo, sare share maua. [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa sisi wa certificate za kushona cherehani..eti ukale chips afu uende kumpima mtu ili umshonee nguo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chands za kikubwa afu ushushie chips? Hata kihombo mwenyewe hakuwah fanya hivyo akiwa chuo.
Si Bora miaka hiyo nilikuwa mnene kabla mambo hayajachanganya Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Heeeh zamani sana. Ulikua mwembamba mnooh.
Napenda tu beats zake na jinsi wanavyocheza.Afu unazielewa? Jamani mie [emoji445] ya hao legends hata siwezi kusikiliza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hamna nilikuwa naimba..Hapo unanena kwa lugha za bwana, matamshi hayasikiki. Roho mtakatifu amekushukia,
Nakumbuka shule wakati wa dini, walokole jaman watu wanatoa maneno hayaeleweki, unahisi kabisa Yesu yupo hapo.
Cc mtakatifu ktk ubora wako.
Ndiyo ndiyoWacha wee.
Yaani Nina mabegi na mabegi[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi si una begi zima lenye nguo za vitenge tyuuh?