Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Utashindwa kuchezesha tile za mashine wakati wa kushona, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] njaa mchezo unadhan oooh.
Ugali Muhimu[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza tushazoea kijinini kwetu Mbeya chips ni 500 hadi 1000
Nimeenda kule naambiwa chips 1500[emoji849].
Hiyo 1500 ugali nyamachoma na mlenda pembeni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakuna shamba hapa, unaenda shamba umechomekea!
Tulienda kumuonyesha shamba mtu apige dawa maharage[emoji23][emoji23][emoji23]
Nilienda kunyoosha miguu maana nilikuwa naumwa hicho kipindi..safari za kufika shamba ni zoezi tosha ,It took almost 3hrs walking

Halafu sijachomekea[emoji23]
Nimevaa kitenge tu hapo na Hilo gauni langu rangi mbili
 
TAI HAPAMBANI NA NYOKA ARTHINI. Humpeleka angani kwenye mazingira tofauti ya vita na kumwachilia humo.
Angani, hali ni ngumu sana kwake, hivyo nyoka hukosa nguvu na kubaki dhaifu na bila maana yeyote, tofauti na arthini ambapo yeye ana ujasiri, nguvu nyingi na ni hatari mno.
Peleka vita vyako katika ulimwengu wa kiroho kwa kuomba na umwachie Mungu.
Usipambane na adui yako katika mazingira yake. Badilisha kama vile tai kupitia maombi yako. Hapo Mungu huchukua usukani na kupigana vita vyako

Ushindi wako ni hakika [emoji119][emoji119]
Tusikome Kuomba[emoji915]
 
Kama ujala huwezi kuelewa hapa😆😆
 
coming of age
IMG-20210120-WA0094.jpg
 
Back
Top Bottom