Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255
Hata mimi nimejitahidi kukujibu kwa kukustahi,tofauti na ambavyo nilitaka kukujibu huo utumbo wako hapo juu.Nimekustahi tu, sitakujibu kwa hili,
Hata mimi nimejitahidi kukujibu kwa kukustahi,tofauti na ambavyo nilitaka kukujibu huo utumbo wako hapo juu.Nimekustahi tu, sitakujibu kwa hili,
You funny,Hapa nyuma ya? Hivi nashindwa kuelewa kuwa km mko timamu ktk Bongo zenu, maisha yangu sipangiwi kamweee,wameshindwa wenye uchungu kwangu na wanaonijua mie A-Z, ndo muweze nyie hapa nyuma ya
? Naona mnabweka tyuuuh, mkichoka mtaacha.
Si ufahari.Kwangu hamuwezi kamweeeeh, tena hapa nyuma ya, wee bweka uwezavyo ukichoka utaacha.
![]()
Sasa amechanganyikiwa anaanza kuniambia masuala ya kuanzisha uzi..ingekuwa hivyo basi mshana angekuwa anakataza watu wasichangie uzi,achangie mwenyewe.hey hey hey take a loong breathe and relax mjadala achana nao huo ujumbe ushafika tutaendelea kukemea vikali hadharani regardless na sisi tuna dhambi kiasi gani
Taratibu tu tutaoneshana makali😆😆hey hey hey take a loong breathe and relax mjadala achana nao huo ujumbe ushafika tutaendelea kukemea vikali hadharani regardless na sisi tuna dhambi kiasi gani
Kwani ufahari ni nini? Kuendeshewa maisha yangu na watu wa nje? Poleeeeeeeh hilo kwangu halipo kamwe.Si ufahari.
Mkuu unapiga chest cough, maandazi na Alkasusu?Chest coughView attachment 1681687
Mkuu unapiga chest cough, maandazi na Alkasusu?

imebidi nicheke kwanza, nilivomaliza chai tangawizi ndio nikapiga dawaMy lovely cocastic kws ufahamu wangu sizani kama kuna mtu anakupangia namn ya kuishi mpenziHapa nyuma ya? Hivi nashindwa kuelewa kuwa km mko timamu ktk Bongo zenu, maisha yangu sipangiwi kamweee, wameshindwa wenye uchungu kwangu na wanaonijua mie A-Z, ndo muweze nyie hapa nyuma ya
? Naona mnabweka tyuuuh, mkichoka mtaacha.
Abeee mkuu
Mie niko timamu ki akili na exposure kubwa, wanaonijua wanafahamu nikoje. Yaan nashukuru Mungu kaninyima vingine vyote, kanipa akili kubwa, ufahamu, uelewa na msimamo thabiti. Najivunia hilo.You funny,
Unatushangaa kama akili zetu ni timamu really wakushangaa ni wewe, mtu mwenye akili timamu hawezi kuenenda kama wewe,
Nani anataka kukubadilisha na wewe ushalowea tayari,
Tunachotaka usilete content za ushoga hilo tu kaa nazo wewe mwenyewe,
Wazazi wako wamekushindwa ee alafu unajitapa eengoja nifanye mawasiliano nipate iyo contract nikunyooshe.
Kidding
Hakika wanaokujua ni wengi wakubwa kwa wadogo,Mie niko timamu ki akili na exposure kubwa, wanaonijua wanafahamu nikoje. Yaan nashukuru Mungu kaninyima vingine vyote, kanipa akili kubwa, ufahamu, uelewa na msimamo thabiti. Najivunia hilo.
Huwezi kuniyoosha mie, labda mie nikunyooshe wee.
Binamu Hiyo picha alioweka ni picha ipi hebu I post tena nishuhudie, ila nyie mlikua wapi mbona hamkuwahi kumshauri zamani, maana mimi najua kama ni shoga siku nyingi sema nikawa tu napotezea kwa kuwa tunakutana hapa kujifurahisha tu na kuendelea na mambo mengine,My lovely cocastic kws ufahamu wangu sizani kama kuna mtu anakupangia namn ya kuishi mpenzi
Ila kinacho ongereka hapa ni the way maisha yako unayo dai ni yako waishi utakavyo kuwaonesha watu public tena watu walio kuwa wanakuheshimu
Ila unacho kifanya ingebaki kwenye maisha yako tu usingeshare na watu ina maan usingesikia hzi kelele zote
Ila mpk umeamua kushare hapa kwa umati wa watu ina maan uliamua kuwaonesha maisha yako yakoje,na ndo maan hapa jf watu awaweki maisha yao hadharan au kupost picha wakaachia sura zao..
kukubali kushindwa siku zote ukufanya mshindi kwa yule unaye shindana nae..lilikuwa jambo la wewe kutaka radhi kws hyo picha uliyo weka na maisha yakendelea
Binafs hzo hyo picha hakuna aliye hifurahia ilo ndo unatakiwa kulijua na hakuna ata mmoja anaye kusaport
Msema uongo na mshihudia uongo wote ni wadhambi sasa ukitaka mtu akutetee kwa ulicho kifanya kwa hyo dhambi unamfanya na yeye ashiriki hyo dhambi
Kulekebishana kupo pale mtu unapo kosea
Na ukirekebiswa kubali kulekebishika..
Kingine humu wamo watu wa kila aina wenye heshima zao na makahaba pia wanapatikana humu isitoshe ata mashoga wamo tena wengi tu lakn kwa vile kila mtu anaishi na maisha yake ndo maan unaona kila wanacho kifanya wao ubaki kwako
tukikutana humu unaweza fikiri wote ni wasamalia wema lkn sivo hvo ila ni vyenye watu wanaheshimu tu mambo yao binafs
Natumai umenielewa mpenzi
Hata Mimi sijawahi kupigwa ban na sitamani isababishwe na kichaa kama wewe.Acha kiherehere, kuna watu wakunitafutia ban sio wewe, na sina historia kupigwa ban maana sijawahi jiassociate na watu wendawazimu mithili yako, mimi siwashwi labda nikuulize wewe kilichokutekenya kikasimama ni nini uje kunijibu au shobo tu zilikujaa mpaka masikioni, maana nilikua namjibu ubinadamu kwanza juu ya uzi kufutwa, huwa sipendi malaya wanafiki, ni heri malaya kuliko mnafiki
isitoshe siitumii jf kama unavyoitumia wewe ukikua utajua,
Hatukumjua kbla binamu..ata hvo hatumkatazi ila yabaki maisha yake binafs vitu kama hvo sio vya kushare publicBinamu Hiyo picha alioweka ni picha ipi hebu I post tena nishuhudie, ila nyie mlikua wapi mbona hamkuwahi kumshauri zamani, maana mimi najua kama ni shoga siku nyingi sema nikawa tu napotezea kwa kuwa tunakutana hapa kujifurahisha tu na kuendelea na mambo mengine,

imebidi nicheke kwanza, nilivomaliza chai tangawizi ndio nikapiga dawa

pamoja mkuuYeaaah nimekuelewa tena upo sahihi wala sikupingi, unajua hakna mtu yupo buzzy na maisha yake km mie, najua kila mtu ana maisha yake binafsi nje ya hii forum,My lovely cocastic kws ufahamu wangu sizani kama kuna mtu anakupangia namn ya kuishi mpenzi