donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
Daaah wakuu anayejua wapi nitapata washing machine hata used kwa dodoma hapa naomba msaada. Nliacha nguo nimeloweka tangu jana asubuhi, hii harufu inayotoka sio ya nchi hii nasubiri majirani walale kwanza ndio nisuuze nikaanike