Wewe kumjaji mtu wewe ni nani Anne mdogo wangu, soma kwa umakini sana nilichoandika, hebu niambie na uonyeshe kwa vidole ni nani humu amefurahia ushoga humu ndani au kuchekea ushoga haijawahi tokea ila ni kila mtu na maisha yake watu uja humu kufurahi kuwasiliana na marafiki na kutoka, na kama mtu anataka kuwa shoga ni kwa hiari yake na nyie hamuwezi kuwa wakwanza kumkataza mpaka mtu kufikia hatua hiyo ni tayari kashakatzwa sana, sasa msilete hoja yenu kuwa uzi ufutwe kwa interest zenu siku zote ulikua wapi wewe au nawe umepatwa na kiherehere tu baada ya kuona ubanadamu kwanza kuanza kusema hivyo, majukwaa mangapi humu hao watu wamejaa mbona nyuzi hazifutwi, mjitasimini msijione wakamilifu sana ilihali mna mapungufu,
Nikaongeza kukuonyesha chimbuko ya ushiloga unatokea kwenye familia zetu kwani wewe huna familia mpaka uniambie familia yangu acha utoto, anza kulinda vizazi vyenu msijetuletea mashoga waliokua na uzoefu na kuwapa jamii tabu za kuzuia, halafu sio lazima ukabali michango yangu wapo wanaoikubali na nasimamia pale napoona pako sawa na usinijaji maana tumekutana tu humu wala hatujuani,