My lovely
cocastic kws ufahamu wangu sizani kama kuna mtu anakupangia namn ya kuishi mpenzi
Ila kinacho ongereka hapa ni the way maisha yako unayo dai ni yako waishi utakavyo kuwaonesha watu public tena watu walio kuwa wanakuheshimu
Ila unacho kifanya ingebaki kwenye maisha yako tu usingeshare na watu ina maan usingesikia hzi kelele zote
Ila mpk umeamua kushare hapa kwa umati wa watu ina maan uliamua kuwaonesha maisha yako yakoje,na ndo maan hapa jf watu awaweki maisha yao hadharan au kupost picha wakaachia sura zao..
kukubali kushindwa siku zote ukufanya mshindi kwa yule unaye shindana nae..lilikuwa jambo la wewe kutaka radhi kws hyo picha uliyo weka na maisha yakendelea
Binafs hzo hyo picha hakuna aliye hifurahia ilo ndo unatakiwa kulijua na hakuna ata mmoja anaye kusaport
Msema uongo na mshihudia uongo wote ni wadhambi sasa ukitaka mtu akutetee kwa ulicho kifanya kwa hyo dhambi unamfanya na yeye ashiriki hyo dhambi
Kulekebishana kupo pale mtu unapo kosea
Na ukirekebiswa kubali kulekebishika..
Kingine humu wamo watu wa kila aina wenye heshima zao na makahaba pia wanapatikana humu isitoshe ata mashoga wamo tena wengi tu lakn kwa vile kila mtu anaishi na maisha yake ndo maan unaona kila wanacho kifanya wao ubaki kwako
tukikutana humu unaweza fikiri wote ni wasamalia wema lkn sivo hvo ila ni vyenye watu wanaheshimu tu mambo yao binafs
Natumai umenielewa mpenzi