Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Safi MkuuMambo vipi mkuu
Safi MkuuMambo vipi mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kula kimasihara for everybody[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baba kumbe na wewe ni muumini wa ule uzi
Naenda kusema kwa mama
Kwanini unafuatilia nyuzi za ajabu ajabu
Oya ushawahi kutest mitambo hapoCome out Charlie... Are u there [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uchumi wa kati
Nani kama mama?aisee unapendwa
wew binti ulipotelea wapiJirani punguza majungu uione pepo.
😅😅😅
Waaaahiiii kwani hii dunia ni yetu!watu wangu wa karibu nitakuwa nawasiliana nao piemu kimya kimya
Najiandaa tu Ice 🙂🙂Valentine bado lizy
kalumbu ukitaka tuandamane ule uzi ufutwe watu tumepambana sana mpaka umerud[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si mnaona sasa akili zenu hizo kalumbu
mbona wewe uko slow sana kutuma tupicha nkamu ghwangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si mnaona sasa akili zenu hizo kalumbu
[emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usinisemee, huwa napitapita kusoma..mimi mpenzi msomaji as sina vya masihara na hata ingetokea sidhani kama naweza kumwaga mboga kiasi hicho.!!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kalumbu ukitaka tuandamane ule uzi ufutwe watu tumepambana sana mpaka umerud
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mbona ww uko slow sana kutuma tupicha nkamu ghwangu
Nilikuwa nimeibwa bestie...wew binti ulipotelea wapi
inasikitisha na kuuma sana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Picha sina kalumbu
ule uzi sio uzinzi tuu pia unafundisha jamii kikolo.......hope to see u there[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Si mnaona mnavyowaza uzinzi muda wote vijana
Narudi ijumaa bestee bado nko iringaNilikuwa nimeibwa bestie...
Ukinikosa huku unajua pa kunipata.
Nimekumiss lakini.u gud!!
Umesharudi mbeya.
Girlfriend yuko mbeya
Kupenda ni rahisi sana, hivi kwanini watu hawajui hilo, yani ukiamulia basi raha duniani, vitu vidogovidogo vinakonga moyo sana na akili, unaamka vikisses kido, unaenda kunywa chai vikissess kidogo, upo kazini vimsg kidogo baby umekula nini yani mpaka shetani anawakimbiaNajiandaa tu Ice [emoji846][emoji846]
Mbona kidogo utashiba kweli?