donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
Kweli January ngumu , asubuhi hii Kuna jamaa kataka aniuzie Paka, nikamwambia home hatuna panya.. Akashusha bei akasema panya atawaleta Baadae jioni..
Njaanuary ngumu sana hakuna hata chaguzi wala teuzi..hivyo tenda zimekauka kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naona ilikuwa na hamu na pilau kuku. Sema wewe hushindwi kupata kuku wakula utakuwa hujaamua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli January ngumu , asubuhi hii Kuna jamaa kataka aniuzie Paka, nikamwambia home hatuna panya.. Akashusha bei akasema panya atawaleta Baadae jioni..
Ni noma.January siku hazitembei kabisa
Ndyo time adopt, karibu umuone baby boe wangu. [emoji23][emoji23][emoji23]hongera had mtoto mnae ww na mpenz wako..
Kabla hujaanza na mie utaanzwa wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kurupuka tyuh hivyo km bao la kwanza, msieeeewpoa naanza na ww
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio astashahada lolKwahiyo siku zote hizo ulikuwa na stashahada tu[emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tobaaaaah lolHapana naenda kuwa tutor
Niende wapi wee babuuh, mie ninao ule wa asili, huu wa kusomea je nikidisco huon ntakua nimepoteza muda?Twenzetu basi....
Hapo kwenye kupewa kishaurwa ni mtihani kidogo.Uko nami usijali nitakupa kishaurwaa cha kufaulu[emoji3]
Hivi astashahada si ndio certificate halafu stashahada ni diploma au nachanganya madesa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio astashahada lol
NjaanuatyMida yetu wakuuView attachment 1674573
Aiseee 🤤[emoji1786][emoji1786][emoji1786][emoji1786]
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 1674626View attachment 1674627