sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,733
- 8,913
[emoji3][emoji3][emoji3]Hapana naenda kuwa tutor
Kumbe umepata ajira mwenzetu basi kapige mapindi huko.
[emoji3][emoji3][emoji3]Hapana naenda kuwa tutor
[emoji23][emoji23][emoji23]ndiyoKanga au kitenge, My bad! teh teh!
Ataenda mbeya sec akiwa anawakawaka[emoji2956]Bought some to mamaView attachment 1673698
🤣🤣na vile walimu wanapenda mashindano,, taja namba ya mguu na wew upate kimojaAtaenda mbeya sec akiwa anawakawaka[emoji2956]
stress za JANUARY 😂Huu uzi mbona umepoa sana watu mnatafuta ada nini?
Atawaka hatari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]na vile walimu wanapenda mashindano,, taja namba ya mguu na wew upate kimoja
najipendekeza akistaafu mwakani anikumbuke hata ya soda 😂😂,,ok ijumaa ntakua mby utakuepo?Atawaka hatari[emoji23][emoji23][emoji23]
Wenzie watakuta vitu vipya[emoji38]
[emoji2956][emoji2956][emoji2956]Mimi navaa 39
Asantee sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naona juhudi zako.najipendekeza akistaafu mwakani anikumbuke hata ya soda [emoji23][emoji23],,ok ijumaa ntakua mby utakuepo?
hahaha unaniogopa ? Mimi sio watu wasiojulikana ni kijana wa yesu mpenda amani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naona juhudi zako.
Lazima akukumbuke tu..
Nadhani nitakuwepo,hata nisipokuwepo itakuwa vizuri zaidi nimuagize mtu [emoji38][emoji38]
Wala sikuogopi[emoji23][emoji23]hahaha unaniogopa ? Mimi sio watu wasiojulikana ni kijana wa yesu mpenda amani
Niziokotee wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hizo ni hips mdogo wangu sio matege, upo vizuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa usawa huu hela zinatoka wapi douta, hali ngumu acha kabisa. Tumebaki kuimba mapambio tu, na vile hatuna PhD teuzi hatupati hakyanani...
January siku hazitembei kabisaHuu uzi mbona umepoa sana watu mnatafuta ada nini?
January siku hazitembei kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naona ilikuwa na hamu na pilau kuku. Sema wewe hushindwi kupata kuku wakula utakuwa hujaamuaNani leo kapika pilau kuku