Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,781
Yaani Kenya wenyewe hawana ma lecturers mpaka waagize nje😄Nani ataenda nami?View attachment 1673849
Tz ya uchumi wa kati yazidi kung'ara
Yaani Kenya wenyewe hawana ma lecturers mpaka waagize nje😄Nani ataenda nami?View attachment 1673849
Yeaaaah ni hivo dear, upo sahihi kabisa.Hivi astashahada si ndio certificate halafu stashahada ni diploma au nachanganya madesa!
Ndo maan huwa sipendi vya kupewa, najza kabisaa huwa sio bure lazima malipo.Sikupi BURE loh...[emoji3]
Mommy naomba kidogo mie njaa inauma.[emoji1786][emoji1786][emoji1786][emoji1786]
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 1674626View attachment 1674627
Jeans ako ni nzuri[emoji854]View attachment 1674587
Yaani acha kabisa.Leo january 11.1.1
Kesho jan 11.1.2 [emoji28]
Yaani eti tumekata siku 11 tu tangu mwaka huu uanze [emoji23][emoji23][emoji23]Ni noma.
Yaani acha kabisa.
Sitaki kuamini muda wote huo uliopita tangu tumevuka Mwaka eti Leo ni tar 11 tu!
Shkamoo January [emoji23]Utaamini tu ikifika tarehe 12
Shkamoo January [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa ni babu, sitaki vya kupewa me, bora niwe mtoaji tyuuh.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unatoa nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa ni babu, sitaki vya kupewa me, bora niwe mtoaji tyuuh.
Natoa shuhuda mbali mbali, wee mpare hutak kupitwa lol [emoji23][emoji23][emoji23]Unatoa nini?
Hahaha nilivyoona umesema unatoa nikataka kujua unatoa nini ili na mimi niombe nipewe chochote kituNatoa shuhuda mbali mbali, wee mpare hutak kupitwa lol [emoji23][emoji23][emoji23]