Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Lini utapunguza kunywa?
Ukisema niache naacha mchumba[emoji173]Lini utapunguza kunywa?
Ndiyo tunarudi Dar ehView attachment 1675289[emoji2184]
AsanteJeans ako ni nzuri
Nmeandika nne! View attachment 1675173
Bado...tukikaribia kurudi nitakupigia simu uje kunipokea bandarini maana nitakuwa nimebeba kapu la wapemba😆😆😆wapemba wamenitekaNdiyo tunarudi Dar eh
Hahahaha!huyu mbona kama mimi kabisa[emoji15]View attachment 1675323
Hahahaha!
Dahh! Kweli Kuna ufanano fulani hiviiau nasema uongo ndugu yangu[emoji16]
Heeeh kumbe unapenda vya kupewa eti? Puliiiiiiiiz acha hiyo tabia utakuja haribikiwa ooooh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha nilivyoona umesema unatoa nikataka kujua unatoa nini ili na mimi niombe nipewe chochote kitu
Napenda, wewe nikikupa huchukuiHeeeh kumbe unapenda vya kupewa eti? Puliiiiiiiiz acha hiyo tabia utakuja haribikiwa ooooh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Natania tyuuuh.
Kipendhiiiiiiiiih uwage unanchukua bas na wee. Mmmh unakula raha peke yako lol.View attachment 1675289[emoji2184]
SawaAsante