Selfika na JF: Snap it. Show it

Yaani mie nataka kujua hizo tetesi zilisikika wapi yaani
Like kwenye biblia au vitabu vingine au wapi mfano mimi nikitaka kujua hizo habari nazipata wapi
Mimi niliambiwa na mtu muislam.
Ko sujui ziko wapi, yawezekana zipo kwenye hadithi zao.

Na Biblia pia inamuandika Yusuph Kama mtu mzuri na mwenye sura nzuri
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hili ni swali au statement?
Ninapata majaribu kama Yusuf haha, unajua kuna wanawake wazuri eeeh, unajua lakini?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndiyo daddy najua ila si ndiyo maana unatakiwa uchague mzuri mmoja maana wazuri hawaishi na hauwezi kuwamaliza wote ujue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…