Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahahaha wanyaki bna mnapenda ugali bmkubwa nae dah anaeza kula ugali asbh mchana jion
Bora hata wanyaki wanachanganya na biazi kidogo
Sisi hapa ni ugali mwanzo mwisho.
Mimi haipiti siku sijakula ugali.. kama sio mchana basi ni usiku.
 
Bora hata wanyaki wanachanganya na biazi kidogo
Sisi hapa ni ugali mwanzo mwisho.
Mimi haipiti siku sijakula ugali.. kama sio mchana basi ni usiku.
Mie pia napenda ugali Ila Sasa isiwe Sana hata Kama chura anapenda maji Ila sio Sasa ya Moto[emoji3][emoji3]
 
Mimi siwezi kulewa mbona nilishasema humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3] wacha nicheke tu na vile Mimi kubishana na wew siwez nmechek ule Uzi wa eliasi wew binti yangu ni mbishi mnoooo
 
[emoji3][emoji3][emoji3] wacha nicheke tu na vile Mimi kubishana na wew siwez nmechek ule Uzi wa eliasi wew binti yangu ni mbishi mnoooo
[emoji23][emoji23]Hapana mimi si mbishi ila huwa nasimamia ninachokiamini na si mtu wa kubadilisha msimamo hata iweje.
 
Mbona skuiona huyo jomoneeh mama mlezi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sema nimekukubali [emoji3][emoji3] vijana uliwapelekea Moto wakaanza toka povu
Japo wengine walinichamba[emoji13]
Ila na mimi sikuwaacha bure,,hadi usiku wa manane nilikuwa naamka kujibu mapigo.
 
Mbona skuiona huyo jomoneeh mama mlezi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uzi ulikuwa na vituko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]

Yaani mdogo wangu kuna watu wa ajabu hii dunia.
Tafuta Uzi wa T.o Kihombo alianzisha baba swalehe uone jinsi watu wanavyopinga ugenius wa T.O aliyepata wastani wa 98 PCM..wanasema alibahatisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Japo wengine walinichamba[emoji13]
Ila na mimi sikuwaacha bure,,hadi usiku wa manane nilikuwa naamka kujibu mapigo.
Ilikua poa Sana Kuna jamaa fulani ulikua unambishia Mimi namjua ni mshua alikua rpc kahamia HQ alikuaga kule mkoa naoishi ni rafiki yangu alisemaga nimsetie jf isiwe inaupdate kwenye email nkaona user name yake ulimpelekea motoo[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…