Safi sana rafiki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na kishati changu nilichopewa zawadi na mamaView attachment 1665832View attachment 1665833
Babe mbona sioni balimi hapo [emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na kishati changu nilichopewa zawadi na mamaView attachment 1665832View attachment 1665833
English figure 😇 vijana tutafute hela[emoji847]View attachment 1665895
Tafuteni tu hela mtaishia kutuita mashemeji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]English figure [emoji56] vijana tutafute hela
Yes babe 🧚♀️🧚♀️🧚♀️YNWA
Yes babe 🧚♀️🧚♀️🧚♀️
[emoji28]Nyie ndo mnakuwaga na mategemeo makubwa hakyamama tena mwisho unakuwa disappointed.haki endelea kujidanganya billdrago
Usichunguze sana Braza kaka.karibu
View attachment 1665706
Jobha Kalumbukalumbu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilipo haitaokekana vizuri douta!
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji847]View attachment 1665895
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Daah wakubwa wanafaidi
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Babe mbona sioni balimi hapo [emoji1787]
Shem mzungu hana shida na mtu!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daah unamtafuta maneno shem wako
Serious sijaambulia chochote hapaMishono mingi ya vitenge ina-base kwenye shift na solo. Ni kuongeza tu ujanja kidogo ili kitenge kichangamke. Utashona peplum, au off shoulder, kuna hii style ya maputo, tarumbeta n.k. ukitoka hapo aah mbona unanoga mama Mtumishi. Hata plain shift na solo ukizishona vizuri unadamshi kabisaaa.
Mabibo na manzese zimejaa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Ah huku dar balimi zishaanza kupotea babe hizo huwa nazinywa sana nikiwa mikoani