Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Huu utambulisho kiboko, unafikia jikoni tena? Labda kama ulienda kukaa siku mbili tatu automatically ungeshiriki kazi za nyumbani. Anyway, kila familia/koo zina taratibu zake
Mmmh kawaida mtoto wa kike hanaga ugeni

Pia uwezi ona mtu mzima yuko napuliza moto uko umekaa

Wale watu wanavipimo vyao vya kumima mtu je anafaa au hafai,ana adabu au hana pale ndo unatolewa makisi..

Ukiona wamefanya kila kitu we upo umebunda tu kama kipofu wala hawata kusumbua ila baada ya hapo ni mtoto wao kikao kitamuhusu kukutafakari wewe unachez na wakwe wew
 
Niko town shusha dress code ya kesho church Ila itategemea Kama nitarud mapema nataka nikazulure mbeya leo nipite viwanja mbali mbali twenzetu ukasafishe macho
Kesho sijui hata ntavaa nini.
Halafu nina mtindo wa kuhangaika kuchagua nguo ya kuvaa asbh
Kumbe ulishafika??karibu sana

Kesho kuna dalili za Mimi kusafiri.
 
Nafika tu mbeya nyumbani jirani yetu hapa pua na mdomo nakuta chuma Ina majanga namuuliza mzee vipi anasema we acha tu Jana juz nililewa nikawa naendesha gari Kama nacheza game la magari kwenye simu
 

Attachments

  • IMG_20210101_173325_595.jpg
    IMG_20210101_173325_595.jpg
    371.9 KB · Views: 4
Kwahiyo unatushauri nini sisi dada zako ambao hatueleweki
Ishi maisha yako, fanya unacho kiona ni sawa,

Ila kuna umri utafika utakuwa na huo uitaji..

Alafu mbali na hvo pia kuolewa ni bahati
siku mungu akikutunuku utaolewa tu wala usiwe na wasiwasi

mimi nilijikomit kwa mahusiano ambayo nilipenda mpk kufikia hatua ambayo niliona naenda kufa niache maisha, nilimuombea sana nilifunga na kusali kwa ajili yake lkn alibadilika kiasi kikubwa sana kiasi kwamba kila mtu aliniona naenda kufa kisa mapenzi ila siku niliyo muacha wala hakuna aliye nishauri tena..

Toka hapo sijui kubembeleza mausiano kwa ajili ya kutaka ndoa naamin mungu akikupa wako kila kitu kinaenda vzuri

Nashukuru nimepata

Kwa hyo kama unajiona haueleweki ipo siku utaeleweka tu mpenzi na utaeleweka kwa mtu ambaye mungu anakuletea sio unaye mtaka wewe
 
ok ukirudi nishtue nikusalimu bna wanasema salamu haitii mimba usiogope nipo mpaka end of january
Umeamua upumzike kwa mama
Kama nitakuwa nimerudi nitakushtua..japo mimi sitaki kusafiri kesho aisee.. hapa home hawana huruma kabisa na Mimi.
 
Ndiyo maana nikasema kila koo/familia ina taratibu zake. Sisi mara nyingi wifi anakuja tu kutambulishwa na kuondoka zake. So atakuta kila kitu tayari kwa siku hiyo (mara nyingi inakuwa jioni), tutafanya utambulisho imeisha hiyoo. Kama atakaa siku 2 tatu, basi ataungana na wenzake kwenye kazi kwa hizo siku atakazokaa.

Si rahisi sana kutambua tabia ya mtu kwa kumuona kwa siku 2 tatu, tena ukweni kila mtu anakuwaga na adabu na mfanyakazi hodari teh. Sisi wakikubaliana wenyewe wawili basi hatuna neno; unless kuwe na kitu kibaya.

Ukikuta kazi kweli lazima usaidie, lakini sio ukoo mzima unakaa chini unakuachia kila kitu ufanye mwenyewe, sijui ndiyo kukufanyia audition mweeh
Mmmh kawaida mtoto wa kike hanaga ugeni

Pia uwezi ona mtu mzima yuko napuliza moto uko umekaa

Wale watu wanavipimo vyao vya kumima mtu je anafaa au hafai,ana adabu au hana pale ndo unatolewa makisi..

Ukiona wamefanya kila kitu we upo umebunda tu kama kipofu wala hawata kusumbua ila baada ya hapo ni mtoto wao kikao kitamuhusu kukutafakari wewe unachez na wakwe wew
 
Back
Top Bottom