kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,694
- 20,648
Sijawahi kuwa na akili.Kbsaaaa aan una hakiri wewe mtoto
Sijawahi kuwa na akili.Kbsaaaa aan una hakiri wewe mtoto
vipi alikuoa pamoja na hekaheka zote hizo?usinikumbushe siku naenda kutambulishwa kwao na mchumba angu aisee nilienda nimevaa gauni ya kitenge hyo ndefu alafu pana hahahaha mpk mchumba mwenyewe hakuamin kama ni mimi na kichan nakwambia nilifunga na kirembajmn nilifika tu baba mkwe ananiita akanipeleka zizini nichague mfugo wa kuchinjiwa...sita isahau hyo siku nilichagua kondoo nikachinjiwa..nikapewa mawe nipange mafiga mtoto wa watu mimi sijawai pika ugali kwa mikono miwili toka niwepo jmn ila sikujali nilivua gaun langu nikaweka kando nikavaa dela nikapanga mafiga nikawasha moto nikatenga mboga uku mawifi na wake na mashemej wananiangalia tu jmn
imagen sikuonesha hasira kbsaa nilipika yule kondoo then nikatenga sufuria la ya ugari
kwenye kusonga ilikuwa kimbembe niktazama watu ni nyomi kishenzi wa 16 walikuwepo pale ukweli nilimuita mama mkwe nikamwambia tu ukweli siwezi kusonga ugari wa watu 16 wa watu kumi tu sijawai nilicho kifnya nilimfata kijan ake nikamwambia baby si unajua bdo naumwa eeh maan nilikuwa na wiki 2 toka nialibikiwe ujauzito ndo kamfata mama ake kumwambia hyu bdo anaumwa harusiwi kufanya kazi ngumu hahahahah
sita sahau kwa kweli ukweni mkusikie tu hakunaga mazoea
Watoto wa kishua Bwanausinikumbushe siku naenda kutambulishwa kwao na mchumba angu aisee nilienda nimevaa gauni ya kitenge hyo ndefu alafu pana hahahaha mpk mchumba mwenyewe hakuamin kama ni mimi na kichan nakwambia nilifunga na kirembajmn nilifika tu baba mkwe ananiita akanipeleka zizini nichague mfugo wa kuchinjiwa...sita isahau hyo siku nilichagua kondoo nikachinjiwa..nikapewa mawe nipange mafiga mtoto wa watu mimi sijawai pika ugali kwa mikono miwili toka niwepo jmn ila sikujali nilivua gaun langu nikaweka kando nikavaa dela nikapanga mafiga nikawasha moto nikatenga mboga uku mawifi na wake na mashemej wananiangalia tu jmn
imagen sikuonesha hasira kbsaa nilipika yule kondoo then nikatenga sufuria la ya ugari
kwenye kusonga ilikuwa kimbembe niktazama watu ni nyomi kishenzi wa 16 walikuwepo pale ukweli nilimuita mama mkwe nikamwambia tu ukweli siwezi kusonga ugari wa watu 16 wa watu kumi tu sijawai nilicho kifnya nilimfata kijan ake nikamwambia baby si unajua bdo naumwa eeh maan nilikuwa na wiki 2 toka nialibikiwe ujauzito ndo kamfata mama ake kumwambia hyu bdo anaumwa harusiwi kufanya kazi ngumu hahahahah
sita sahau kwa kweli ukweni mkusikie tu hakunaga mazoea

hamjui kupika kwenye mafiga.

Mimi ikitokea nikaolewa nikienda basi nikae tu siku chache...mambo ya kuishi na ukoo mzima kwa siku nyingi kwa kweli siwezi kabisa.
🥂🥂🥂Utuletee Basi JamvinHapana Asante.aliyepo anatosha🥂🥂🥂
Ukivaa gauni hauwi huru??Nazipenda maan kwa mishe mishe zangu nakuwa huru
😅😅@linahbaby bhana...Hahaha ndoa nafunga tu soon inshallah tuombe uzima
😊😊😊😊😊Ila wew unavisa jmn
Nikope laki 1.Hahaaaa acount kbsaaa mpenzi tena sio moja![]()
Sijasema Kama ni dhambi au si dhambi.Sio dhambi mkuu unaweza usivae lakini ukafana maivu kuzidi iyo suruali ilivyochanika.
😃😀 usiogope ukweni wapo wawili tu na mbwa wetu nae yumo kwenye share so ukipika unapika msosi wa watu wanneWatoto wa kishua Bwanahamjui kupika kwenye mafiga.
Kusonga ugali kwenye mafiga ni rahisi mno kuliko mkaa,Mimi napenda kutumia mafiga kwenye kusonga ugali.
Kwahiyo mama mkwe akakusaidia kusonga
Ila mambo ya ukweni jamaniMimi ikitokea nikaolewa nikienda basi nikae tu siku chache...mambo ya kuishi na ukoo mzima kwa siku nyingi kwa kweli siwezi kabisa.
Atakuja tu🥂🥂🥂Utuletee Basi Jamvin
Nikutumie picha yakoSijasema Kama ni dhambi au si dhambi.
Nimesema kwa upande wangu mm siwezi ivaaa...ni mtizamo tu na interest za mtu..
Ni Kama Mimi ninavyovaa kitenge sehemu zote,yupo mwingine anaona kuvaa kitenge ni shida.
kuna baharia ataona zaid ya upeo wa macho yetu
😂😂 Cha kulala bila kyupi ndio umeona kizuri eeh😅😅@linahbaby bhana...
Kila la kheri mdogo Mungu akutangulie kwa kila kitu akuondolee vikwazo vyote mfanikiwe kufunga ndoa muanze kulala bila vyupi...
usinikumbushe siku naenda kutambulishwa kwao na mchumba angu aisee nilienda nimevaa gauni ya kitenge hyo ndefu alafu pana hahahaha mpk mchumba mwenyewe hakuamin kama ni mimi na kichan nakwambia nilifunga na kirembajmn nilifika tu baba mkwe ananiita akanipeleka zizini nichague mfugo wa kuchinjiwa...sita isahau hyo siku nilichagua kondoo nikachinjiwa..nikapewa mawe nipange mafiga mtoto wa watu mimi sijawai pika ugali kwa mikono miwili toka niwepo jmn ila sikujali nilivua gaun langu nikaweka kando nikavaa dela nikapanga mafiga nikawasha moto nikatenga mboga uku mawifi na wake na mashemej wananiangalia tu jmn
imagen sikuonesha hasira kbsaa nilipika yule kondoo then nikatenga sufuria la ya ugari
kwenye kusonga ilikuwa kimbembe niktazama watu ni nyomi kishenzi wa 16 walikuwepo pale ukweli nilimuita mama mkwe nikamwambia tu ukweli siwezi kusonga ugari wa watu 16 wa watu kumi tu sijawai nilicho kifnya nilimfata kijan ake nikamwambia baby si unajua bdo naumwa eeh maan nilikuwa na wiki 2 toka nialibikiwe ujauzito ndo kamfata mama ake kumwambia hyu bdo anaumwa harusiwi kufanya kazi ngumu hahahahah
sita sahau kwa kweli ukweni mkusikie tu hakunaga mazoea
kiungo kiunganishi😅Hahaha....dah!! we jamaa bhana![]()
Dada mkubwa naomba kujua.mlifanikiwa kufunga ndoa??tuachane na mapishi

Kuolewaa ni sheria babygirl...@linahbaby bhana...
Kila la kheri mdogo Mungu akutangulie kwa kila kitu akuondolee vikwazo vyote mfanikiwe kufunga ndoa muanze kulala bila vyupi...