Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,533
- 235,284
Oh niliona miaka ya 80's kwenye harusi ya shangazi yangu.Anatengwa hivyo kama unavyomuona kwenye meza Kama vile ni keki kicha anakatwa kama jeki na kulishana.
Ngoja nijaribu maana niko outdated[emoji13]ifike mahala unabadili kidogo sio dhambi unajiupdate
Kesho tena[emoji134]Kesho nitaselfika.
Chat na picha wapendwa [emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja nijaribu maana niko outdated[emoji13]
Weeee...msitudanganye!😬😬Ujue mtu akinyoa kila muda unataman kumwambia una nywele nzuri
ila akishaweka zile za akina Neymar na ronaldinho unaanzaje kumwambia...
Hapana sipendi maisha ya kuchunguza watu na mimi pia sipendi kuchunguzwa🙄🙄🙄 Ebooh Jasusi mwenzangu sio😅
😄😄😄 kila ukiingia bafuni unayatamani maji alafu unakumbuka you can't 😳😳Yaani umejuaje?[emoji23][emoji23][emoji23]
Wiki kama 2 nilikuwa Dodoma na sehemu niliyokuwepo kulikuwa na joto hatari nikawa natamani ning'oe weave.
Naona shida si mafuta.
Shida ni kwamba nilipumzika kusuka na muda wote niliopumzika nilikuwa nazitia maji kila siku..sasa kuanza tena napata tabu
Hiyo ya upande wa kushoto ni yanguChat na picha wapendwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Nuzulati
Niliona miaka ya nyuma kidogo dada yangu alikuwa anaimwagia kichwani hiyo diprosone.[emoji1][emoji1][emoji1] kila ukiingia bafuni unayatamani maji alafu unakumbuka you can't [emoji15][emoji15]
Binafsi weaving sipendi maana nyingi zinawasha kutokana na aina ya material wazotumia kutengeneza. Kuna mtu aliniambia ukipaka Diprosone kama ulikuwa unasumbuliwa na ngozi kuwasha inaisha kabisa. Labda ujaribu uone if it might help.....
Yah iko poa sanaBUSH BIN LADEN Mkuu nimeamia phoenix browser ipo fresh sanaa👏 shukran now naendelea kuenjoy
Baruti zilikuwa za nini sasa!Haikuwepo
Changamsha nyumba[emoji23][emoji23][emoji23]Yah iko poa sana
Baruti zilikuwa za nini sasa!
nahisi me ndo muhanga mkubwa was huu ujumbe kuliko yeyote ndan ya huu UziMoja ya ujumbe wa kikatili sana katika huu uzi ni huu.. Bahati mbaya iwe ni picha mrembo mmoja katupia..View attachment 1662270
Aloooh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tuone na sura Sasa[emoji4]
Mi nadhani kwenye hili ni kila mtu alivoumbwa kikubwa ni ujijue unapendeza ukifanya kipi. Kuna wanaopendeza akinyoa kipara, kuna wanaopendeza akinyoa kama ulivonyoa, kuna anaependeza akisuka rasta nk nk..Weeee...msitudanganye!😬😬
Huku mnajidai kuziponda ila mtaani mnazisifia kama nini. Watu wenu wakibond na kushonea hizo "You are so beautiful! Ma" "You look amazing" etc. etc. kama zote 😏😏
Mbona umefuta haraka jamani[emoji134]Aloooh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi Huyo ? ?
Acha kunionea [emoji23][emoji23][emoji23]Mbona umefuta haraka jamani[emoji134]
Una vidole vidogoo
Aisee ukiwa busy ukawa hauingii hapa mara kwa mara unakutana na hizo sana.. Unaweza hisi una mkosi😀😀nahisi me ndo muhanga mkubwa was huu ujumbe kuliko yeyote ndan ya huu Uzi
🚶🚶🚶
Tuma ya usoAcha kunionea [emoji23][emoji23][emoji23]
sema nitume tena
[emoji95][emoji95][emoji95]douta!![emoji3060][emoji3060] [emoji4][emoji4]
Happy New Year EveryoneView attachment 1665043View attachment 1665045
[emoji91][emoji91][emoji91] Umetisha sana#FlashBackFriday #10yrsAgo [emoji2957][emoji2957]
View attachment 1665116