herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 1,982
- 3,248
😂😂😂😂pigo za wanyaki kabisa hz tena wa tukuyu.unaweza ukawa n ww kweli...?Hiyo ya upande wa kushoto ni yanguView attachment 1665075
🚶🚶🚶
😂😂😂😂pigo za wanyaki kabisa hz tena wa tukuyu.unaweza ukawa n ww kweli...?Hiyo ya upande wa kushoto ni yanguView attachment 1665075
🙄hiyo huwa ni funika kombe mwnaharam apite tuuWeeee...msitudanganye!😬😬
Huku mnajidai kuziponda ila mtaani mnazisifia kama nini. Watu wenu wakibond na kushonea hizo "You are so beautiful! Ma" "You look amazing" etc. etc. kama zote 😏😏
Exactly!!! Kwahiyo mtuvumiliage tu!!Mi nadhani kwenye hili ni kila mtu alivoumbwa kikubwa ni ujijue unapendeza ukifanya kipi. Kuna wanaopendeza akinyoa kipara, kuna wanaopendeza akinyoa kama ulivonyoa, kuna anaependeza akisuka rasta nk nk..
Duuh 😄Ulikuwa mpanda farasi eeh#FlashBackFriday #10yrsAgo 🤪🤪
View attachment 1665116
😂😂😂 Wabaya sana nyie watu 🤔🙄hiyo huwa ni funika kombe mwnaharam apite tuu
👏Uko vizuri..Hapana sipendi maisha ya kuchunguza watu na mimi pia sipendi kuchunguzwa
😂😂😂yan me Mara zote humu huwa nakutana na picha za vyakula kutoka kwa Lizzy, nshawai bahatika kuona mguu wa chakorii na za wale wavaa makofia makubwàa, hata shingo huzion.Aisee ukiwa busy ukawa hauingii hapa mara kwa mara unakutana na hizo sana.. Unaweza hisi una mkosi😀😀
😅Hatuwazid nyie...😂😂😂 Wabaya sana nyie watu 🤔
Mchunga ng'ombe wa kisasa 😀😀Duuh 😄Ulikuwa mpanda farasi eeh
😅😅😅Sema naona umegoma kubadilikaMchunga ng'ombe wa kisasa 😀😀
Uzi umechangamka leo🥂Adi nataman niamishie kitanda humu humu..#Sweet16 😐😐View attachment 1665119
🤣🤣🤣🤣 kukataa siwezi ila nasisitiza kwamba.....nyie ni wabaya!!!😅Hatuwazid nyie...
kuna post moja ya twitter nilicheka sanaa.
Mdada kapost Good morning to all ladies and other gender that betray Jesus
Alichojibiwa sasa 😄 Nikabaki kucheka tu
Sasa naanzia wapi kubadilika???😏😏😅😅😅Sema naona umegoma kubadilika
HV viatu ndo anavyovaa diamond kwenye shoo zake nowadays#FlashBackFriday #10yrsAgo 🤪🤪
View attachment 1665116
😊😊achecheee,
Happy new year💞😘
🚶🚶🚶
🤣🤣🤣🤣 kukataa siwezi ila nasisitiza kwamba.....nyie ni wabaya!!!
Tupia screenshot shot ya alichojibiwa na sie tufurahi 🙂
Utalala sasa???Uzi umechangamka leo🥂Adi nataman niamishie kitanda humu humu..
Naona nimuite Behaviourist aje aaseme 😂Wapi panahitaji mabadiliko😅😅Sasa naanzia wapi kubadilika???😏😏
As long wewe uko macho usingizi sidhani kama utakuja..Utalala sasa???