Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Habari washkaj zangu niliwamis Sana mwenzenu nilipata majanga sikumaliza mwaka vizuri ndio maana hamkuniona humu la kwa muda nilipata bonge la ajali wazee nikagonga watu bahati mbaya wakafa nimekaa Sana rumande nimetoka juzi mniombee nikae sawa kisaikolojia
Poleeeh sanaaa.
 
Pole sana
Mungu awafariji wafiwa,
Mungu akupe amani.

Happy New year,ya kale yote yamepita..mshukuru Mungu kwa yote na tambua kila Jambo hutokea kwa sababu.
 
Aiseee Pole sana ndugu yetu
Time heals mkuu yataisha yote hayo
Hata hivyo you are not only one ulie gonga watu, kaka yangu aliua mlevi

Talk to Us utoe huo mzigo rohoni Kakaa
Walikua wangapi ? ilikuaje kwani ?
Kuna mwanapraise mwenzangu last year November aligonga mtoto wa watu mtaani kwao,akafa.

Hivi vitu hutokea bahati mbaya.
 
ungepiga maombi Kama Paulo na sila na milango ya gereza ifunguke,,simu walikwapua wahuni pale
Dah jamanipole sana..
Yaani ningenena kwa lugha za malaika hapo hadi wangekutoa mbona .

Ungeazima hata simu unipe taarifa.
 
Sasa si unanipa taarifa dk 1 tu
Dah,pole mno..vipi selo kukoje??
Hopefully kitambi kimepungua
hahaha saivi kitambi kwisha nilikua sijawahi ingia aisee usiombe uje ingia ni kuchafu balaa msosi walikua wananiletea lakini kwa ule uchafu hapana aisee it's a bad experience ever, uko greencity ?
 
Back
Top Bottom