Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Baada ya msoto kilo 6 zimekata
 
Attachments

  • IMG_20201226_134853_557_1609498606265.jpg
    IMG_20201226_134853_557_1609498606265.jpg
    142.4 KB · Views: 7
Habari washkaj zangu niliwamis Sana mwenzenu nilipata majanga sikumaliza mwaka vizuri ndio maana hamkuniona humu la kwa muda nilipata bonge la ajali wazee nikagonga watu bahati mbaya wakafa nimekaa Sana rumande nimetoka juzi mniombee nikae sawa kisaikolojia
@billdrago
Pole sana Mkuu.. Hata sasa Mungu amekwisha kukusaidia.. Utakuwa sawa IJN.
 
Habari washkaj zangu niliwamis Sana mwenzenu nilipata majanga sikumaliza mwaka vizuri ndio maana hamkuniona humu la kwa muda nilipata bonge la ajali wazee nikagonga watu bahati mbaya wakafa nimekaa Sana rumande nimetoka juzi mniombee nikae sawa kisaikolojia
Pole sana mkuu just relax. Wakati hausimamami hili nalo litapita.
 
Kabisaa kama hujawai kaa mule huna Tofaut na other gender...

Pia ukitoka tu nguo unatakiwa uzichome zile kuondoa nuksi.
vipi mkuu ushazitia Moto
Sio kweli ndugu. Ziko jela za namna nyingi katika tafsiti ambazo mwanaume huwa anapitia lakini si kwakwamba kutokuwekwa jala ya polisi au ya magereza sio mwanaume!!
 
Back
Top Bottom