linahbaby
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 1,087
- 3,084
[emoji23][emoji23] Hakuna ata mmoja pm nimefungaHuu uchokozi wa ngumi
Raia watakuwa wanajaa PM
[emoji23][emoji23] Hakuna ata mmoja pm nimefungaHuu uchokozi wa ngumi
Raia watakuwa wanajaa PM
Poa mkuu niambie!!Mambo vipi mkuu
Hahahahaha kwa kweli chat na pichaChati na picha mpendwa
[emoji23]Tusipo tuma picha mnalalama tukituma manaomba kupunguziwa kasi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji847]basi nazifutaMuhammad [emoji86][emoji86]
Taratibu jamani huo mwendo unaotupeleka
hatujazoea
Macho mazuri dah shemeji yetu anafaidiMwenye bahati kuiona hii kbl ya saa 7 kamili basi habatike [emoji7][emoji7][emoji7] nawapenda sana
[emoji116]Ndo oicha ya mwisho kutuma sita tuma tena picha [emoji120]View attachment 1663678
Not sure.. Hii sio sawa na "I luv u" ya kufowadi?😀😀Asanteni sana[emoji92]View attachment 1663363
Mmmh jmn adi wewe[emoji847][emoji847]Macho mazuri dah shemeji yetu anafaidi
Haya uje nikfundisheNakutania bhana sijui me, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanawake kikawaida huwa tukitoa sifa huwa ni kweli asilimia 100%Mmmh jmn adi wewe[emoji847][emoji847]
Unafufua makabiri naona mkuu[emoji4]Not sure.. Hii sio sawa na "I luv u" ya kufowadi?[emoji3][emoji3]
Wow[emoji4][emoji4][emoji4] thank you baby [emoji173]Wanawake kikawaida huwa tukitoa sifa huwa ni kweli asilimia 100%
Mi naona wote wana tuYour too analytical katika hao watatu waliosimama wakike ni yupi?
Kwenye selfie zako kuna dp ina mshumaa, whats wrong!Unafufua makabiri naona mkuu[emoji4]
😆😆😆Huu uchokozi wa ngumi
Raia watakuwa wanajaa PM
R.I.P dear friend.. PoleniOoh[emoji29][emoji29]very pain.... ni msiba wa rafiki yangu mkuu[emoji22][emoji22]
She is dead[emoji22]....View attachment 1663704
To cuteOoh[emoji29][emoji29]very pain.... ni msiba wa rafiki yangu mkuu[emoji22][emoji22]
She is dead[emoji22]....View attachment 1663704
Asante best tusha mzika aiseeR.I.P dear friend.. Poleni
Dah we acha tu dunian tunapita ndo maan tunaambiwa tukae kwa kutulia kuumaliza mwaka ni mungu tu ila anytime hatuna pumziTo cute
To die
R.I.P