Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ukipata muda wa kufurahi basi furahi sana ukiumizwa lia sana kutoa machungu dunia sio yetu hii wapendwa muda wowote mtu unazima


Kama kuna mtu anamfahamu hyu dogo
Aisee dogo kavuta jana jmn alikuwa anaumwa skoseli
IMG-20201230-WA0019.jpg
 
Sasa huyo daddy anavonchunia mweeh had naogopa,
Hebu niulizie nilimkosea nn huyo daddy jomoneeh.
Kwanini anakukazia?umemfanya nini!i think yo daddy is an introvert acco..to his mwandiko..so kwenye maisha yao hawapendagi kasheshe ukiwajulia utafurahia laifu.

Akionekana humu,,,imeisha hiyo....🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️
 
Back
Top Bottom