Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,510
- 235,214
Yaani mnaendana sanaKuna siku aliweka pic chap kwa haraka nikajua ni mimi[emoji28][emoji28]yani..ila yeye mashallah jamani kha
Mmetofautiana rangi tu nadhani.
Yaani mnaendana sanaKuna siku aliweka pic chap kwa haraka nikajua ni mimi[emoji28][emoji28]yani..ila yeye mashallah jamani kha
AmiinPole sana mpendwa
Pumzika kwa amani rafiki yake na linah
Mdogo wako kipenzi sipendagi mshtukizo😁Subiri usiku mkubwa mdogo wangu kipenzi 😍
😘😘😘😘😘😘sisyView attachment 1663763
Huyo hapo..dk 0
Noooh bhana dea, nipo sawa kabisaaa.Mbona mwandiko wako unaonekana unaunyonge katikati darling nini shida
Ngoja nitaanza kunywa mkorogo nikuwe waiti😁😁haki tena..Yaani mnaendana sana
Mmetofautiana rangi tu nadhani.
GoodNoooh bhana dea, nipo sawa kabisaaa.
Hiyo rangi nzuri sana[emoji7]Ngoja nitaanza kunywa mkorogo nikuwe waiti[emoji16][emoji16]haki tena..
Thubutuuuuu naipenda rangi ya ngozi yangu mfano hakuna.mkorogo nisamehe bure moyoni kwangu huwezi kuingia hata kwa bahati mbaya[emoji28][emoji28][emoji28]
Sana mtakatifu wangu..najivunia kuwa cheusi mangara 🧚♀️🧚♀️Hiyo rangi nzuri sana[emoji7]
Halafu tumebaki wachache.
😂😂😂😂😂Mdogo wako kipenzi sipendagi mshtukizo😁
😘😘😘😘😘😘sisy
Bado kiuno nyigu sisy yangu jasiri🧚♀️🧚♀️🧚♀️
Hivi daddy Eli79 tunaonana lini eti[emoji482]View attachment 1663556
Kwakweli sisy😂😂😂😂😂
Kuna ujasiri Basi...!!! Kujitoa tu ufahamu Mara moja Moja
Kwa vile ni wewe hakuna shidaNaomba tuonane.unaonaje
Imeisha hiyoooo...🧚♀️🧚♀️🧚♀️Jiandae kunywa balimiKwa vile ni wewe hakuna shida
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Imeisha hiyoooo...[emoji3344][emoji3344][emoji3344]Jiandae kunywa balimi
Kama ni mpenzi wa mdudu mama leo utaoga balimi 😅😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila akili zako
Umeshafanya mate yanijae mdomoni. Sasa ole wako yanipalie kabla sijanywa hizo balimi.