cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,321
- 187,985
Woyoooooh ndani ya tenge, tena ni wax original.
[emoji7][emoji7][emoji7]
Woyoooooh ndani ya tenge, tena ni wax original.
Nakazia aongeze 2 yaan[emoji7][emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Ongeza na nyingine
Woooozah!!!!
much appreciate Bro..[emoji1635]Ninalo bhasi la kusema mkuu....
Umesema ukweli kabisa ndugu yangu
Siwezi [emoji23][emoji23][emoji23]Yeah ndo Maisha..
Ukiwa mzima kila kitu Nothing is impossible
Hope ukipata muda utaenda panda mlima Mbeya
Si unaona ulivyo na bahati mzee babaHahahaha
Hata wewe sijawahi kukuona ukibebisha mtu[emoji23][emoji23][emoji23]Kama mimi chama la wana nabebisha kila mtu hapa hmnga ubaguzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Kama Mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata wewe sijawahi kukuona ukibebisha mtu
Kuna watu nikiona wanabebisha kila mtu hata sishangai
😂😂😂😂 Inatosha😜Nakazia aongeze 2 yaan
Daddy usiumie bhana jamaniHuenda dota, huenda asee...unajua moyo kuuma[emoji39][emoji23][emoji23]
Nothing is particularly hard if you divide it into small jobsSiwezi [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani Kuna vitu sidhani Kama nitakuja vifanya.
Mojawapo kukaa ukingoni namna hiyo,kuogelea yaani siji kujaribu.
Mmmmh hebu tupe na nyingne lov cc[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Inatosha[emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Karma unaweza kusimama pembeni Kama hivyo rafiki yangu??
Mimi Bora waninyonge ila kusimama pembeni hivyo siwezi.
😂😂😂😂 Unapendaaa muoneMmmmh hebu tupe na nyingne lov cc
Siku nikiogelea basi itakuwa si kwa hiari yangu (itokee nimepata ajali majini)Nothing is particularly hard if you divide it into small jobs
By Henry Ford
Hakuna kitu kigumu ukiwa mzima yan uwe na kila kiungo kizima na ushindwe ni ngumu sanaa
kuna watu wanaa hali ngumu hawana baadhi ya viungo lakin wanafanya maajabu...
Yesu wangu[emoji134][emoji134][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeanza vituko vyako
Mimi ninavyopenda waterbodies hasa bahari nitasimama tu! Wewe si kaoga ndiyo maana!
Wewe si unaye yule wako mmoja? Nikiona unabebisha mwingine nitashangaa!Kama Mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huu mguuu ni Kama paja langu moja
Chiiiiii