Hivi huyu
mtu chake anavyobebishwaga hivi halafu eti bado kutwa analalamika mademu wa JF hawamkubali
Sijawahi kuona
Chakorii anambebisha mwanaume mwingine humu JF kama anavyombebisha huyu na anambebisha yeye peke yake tofauti na wanawake wengine ambao wanabebisha kila mwanaume