Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hivi huyu mtu chake anavyobebishwaga hivi halafu eti bado kutwa analalamika mademu wa JF hawamkubali

Sijawahi kuona Chakorii anambebisha mwanaume mwingine humu JF kama anavyombebisha huyu na anambebisha yeye peke yake tofauti na wanawake wengine ambao wanabebisha kila mwanaume

Eti tofauti na wanawake wengine wanawabebisha kila mwanaume.

Umenichekesha
 
Haya basi Anne, tuyamalize. Mimi huko wala...

Eti yule babez wako wa humu ni nani vile
Uhakikishe unaenda kumuuliza upate uhakika,pia umfwatilie umsikilize..usipende kusikiliza maneno ya vijiweni mara nyingi wanaoyaongea unakuta hata kwenye mafundisho yake hawajawahi kudhuria ila kazi yao kuropoka tu mtaani uongo.

Kwenye huu Uzi Nina babe mmoja tu anajijua...au nimtaje?
 
Mtaje ili wasije kukuibia

Kwani anakubali kushikwa mkono?
 
Kwani ukiwa na mbebez humu kuna shida basi mama, tulia hivyo hivyo na mtu chake wako. Sisi na watu wetu ujuwe..hahaha!
To make this thing clear mtu chake na Chakorii hawana mahusiano ya aina yoyote.kinachoongeleka hapa selfika kinakaa hapa hapa selfika hakijawahi kutoka wala kuhamia Kwenye Mawasiliano mengine

Yes Eli79 yawezekana wewe unatania lkni kuna mamtu zingine zinaamini kinachoendelea public basi ni uhalisia.

Kungekuwa kunachochote kinachoendelea kati yetu hakika msingeona tuko comments hapa public.tungemaliziana pm huko au kupeana namba za simu tukamalizana huko nje na ndani ya JF tukaendelea kupritend wi don’t know each other.have I made myself clear to you guys!!!yes!

🥂🥂🥂🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️
 
Utani tu bwana! Hata akiwa bebez wako kwani ipo shida basi, take it easy!
 
Utani tu bwana! Hata akiwa bebez wako kwani ipo shida basi, take it easy!
😁😁relax.nafikiri sikuwahi kusema nilipokuwa nikiulizwa juu ya mtu chake nilikuwa naishia kucheka Cheka nikiona ni kawaida kumbe nilikuwa najidanganya.

Kuna fala moja itakuwa inapitia comments hapa nafikiri nimeshaijibu tayari.“”chifu kupitia comments zilizotangulia naimani umeshapata jibu“”

🥂🥂🥂🥂
 
To make this thing clear mtu chake na Chakorii hawana mahusiano ya aina yoyote.kinachoongeleka hapa selfika kinakaa hapa hapa selfika hakijawahi kutoka wala kuhamia Kwenye Mawasiliano mengine

Yes Eli79 yawezekana wewe unatania lkni kuna mamtu zingine zinaamini kinachoendelea public basi ni uhalisia.

Kungekuwa kunachochote kinachoendelea kati yetu hakika msingeona tuko comments hapa public.tungemaliziana pm huko au kupeana namba za simu tukamalizana huko nje na ndani ya JF tukaendelea kupritend wi don’t know each other.have I made myself clear to you guys!!!yes!

Oohh kumbe hii ndiyo iliyokuwa hofu yako? Basi ndiyo maana nikahisi tu kuwa lazima ulinielewa vibaya!

Sikiliza my dear kinachoongelewa humu JF huwa kinabaki kuwa cha humu humu JF! Hayo ya huko nje sisi hatuyajui mimi sijui wewe unafahamiana na nani na nani haufahamiani naye nje ya JF!

Na hata niliposema mtu chake ndiye mwanaume pekee unayembebisha humu JF nilimaanisha ni ile kiJF JF tu kama wanavyofanya watu wengine! Na siyo kwamba eti nimemaanisha wewe na mtu chake mnadate nje ya JF na wala sijawahi kuhisi hivyo!

Mbona wapo watu wengi tu humu wanabebishana na hawafahamiani kabisa nje ya JF wengine hata pm tu hawajawahi kwenda? Hapo nilikuwa nataka kumtania mtu chake tu kuwa mbona analalamikaga eti mademu wa JF hawamkubali wakati wapo wanaomkubali!

Tena yeye ana bahati amepata mwanamke anayembebisha yeye peke yake tofauti na wanawake wengine ambao wanabebisha kila mwanaume hadi hao wanaume wanaobebishwa unakuta wanaanza kuoneana wivu! Ambao nao najua ni ule ule utani wa humu humu JF tu!

Kama nilivyosema mimi humu JF sijui nani anafahamiana na nani na nani hafahamiani na nani na wala hakuna couple ninayoijua humu JF zaidi ya Smart911 na mahondaw na ni kwa sababu wao huwa wanajitangaza! Wengine wote wanaobebishana humu mie huwa nachukulia ni kama wanataniana tu!

All in all mimi na mtu chake hatufahamiani my dear wala hata pm hatujawahi kwenda lakini humu jukwaani tumeshachitchat mara kadhaa na huwa namuona ni mtu poa sana! Mimi simjui wala yeye hanijui hivyo hata mambo ya mahusiano yake mimi siyajui na utani wowote ninaomtania humu basi mie nachukulia ni wa humu humu tu!

Kama yuko mtu mwingine aliyeelewa vibaya hicho nilichoandika mimi sijui namsaidiaje kwa kweli! Kama nilivyosema kuwa binadamu huwa tunaelewa kile tunachotaka kuelewa sisi na si kile kilichokusudiwa kueleweka!
 
Back
Top Bottom