Selfika na JF: Snap it. Show it

Haniwezi huyo kipenzi changu..

Ohoooo yani nafeel the love..yeuyeeewww
nakuzawadia mabusu leo mtu chake wangu
Hivi huyu mtu chake anavyobebishwaga hivi halafu eti bado kutwa analalamika mademu wa JF hawamkubali

Sijawahi kuona Chakorii anambebisha mwanaume mwingine humu JF kama anavyombebisha huyu na anambebisha yeye peke yake tofauti na wanawake wengine ambao wanabebisha kila mwanaume
 
Rafiki yangu Mnyaki alifariki masikini. Rest in peace Magreth. I will always carry your memory na nikija kubahatika kupata mtoto wa kike nitampa jina lako. Wanyaki mna roho nzuri sana
Mno yaani


Aendelee kupumzika kwa amani,kuishi ni kristo na kufa ni faida,siku moja tutaonana Kwa Baba.
Pole sana..

Bado marafiki wazuri tupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…