Akijibu swali lako naomba unitag mpendwaMkuu, is this a man or a woman(a boy or girl)?
jambo la heri kama uko salama...Eeeh hapo sawa kabisa
Namshukuru Mungu niko salama kabisa
Sent from my SM-P601 using JamiiForums mobile app
Nitafanya hivyo mkuu, he/she's so cute asee! Ila kama ni wali nazi basi tena!Akijibu swali lako naomba unitag mpendwa
Kwa ile picha ya upaja ni paja La mwanamkeNitafanya hivyo mkuu, he/she's so cute asee! Ila kama ni wali nazi basi tena!
Umeenda Zanzibar! Hakika watu mnazifurahia hizi sikukuu.
Hapan niko kazini mkuu.hiyo ni ya muda kidogoUmeenda Zanzibar! Hakika watu mnazifurahia hizi sikukuu.
Sawa, uko vizuri mkuu japo niliona kama unaogelea baharini kuelekea visiwani.Hapana mkuu niko kazini mkuu.hiyo ni ya muda kidogo
Lakn yy n me.Kwa ile picha ya upaja ni paja La mwanamke
Nimekupa nini mkuuAsante
Tunashukuru kwa picha nzuriNimekupa nini mkuu
Sitaki vinukta vyako kipenzi..nimenuna.....
Ohoo 🥂🥂🥂Tunashukuru kwa picha nzuri
Sorry, sirudii tena, kwaheri ,nikutakie mchana mwema.Sitaki vinukta vyako kipenzi..nimenuna
Ukinisusa nitakufa ujueSorry, sirudii tena, kwaheri ,nikutakie mchana mwema.
Hahahaha, hapana huwezi kufa , na sijui km naweza thubutu kukususia, labda ususe weweUkinisusa nitakufa ujue
Naanzaje sasa kukususia mimi jamani..eti we ulisikia wapi.ee..haiwezekani kabisaHahahaha, hapana huwezi kufa , na sijui km naweza thubutu kukususia, labda ususe wewe