Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Shangazi anasema urudi nyumbani... Nimeogopa kumwambia upo wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwan shangazi yako hataki wajukuu ? jmn [emoji2][emoji2][emoji2] mwambie nalala kwa aliye mzalia mimi siye wake tena ni wawatu muda wa kuchukuliwa unakaribia atabaki kunikisia tu kwa simu[emoji23][emoji23]
 
Sasa unatakiwa umuage shangazi kiprotocal yani itifaki izingatiwe kijana alete mahari na barua ya uchumba, sio kumkimbia shangazi yangu kama kuku aliekutana na jogoo njiani akatoroshwa[emoji4]
 
Hahahaha binamu kama nakuona siku ya mahali utakavo muangalia jicho jamaa uku ukiugulia moyoni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mahari itakuja tu binamu kuwa mpole mwaka 2021 una baraka nyingi sana sio mahari ata kuitwa mjomba pia[emoji7]
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Unanipamba hivyo binamu, kuna jambo sio bure[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom