Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,532
Ohooo yes baba
Majungu kwa afya..😆😅😅😅umeanza majungu😆😆😆😆😆
😆😆😆😆akitaka nisimuambukize azime Data...Unajua wewe ni mtumishi wa Mungu😆😆😆huyu jamaa asikuambukize majungu😅😅😅
Daah...😆 Ngoja niwale.. tena Umenikumbusha nikatafute sato wa supu kesho morneeEndelea kula samaki hakuna namna..usije ukazima buree 😅😅
💪Vodacom power to you
View attachment 1662362
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Utadhani baby wangu wewe ni hodari sana wa kutuma picha hapa,Wapendwa chat na picha Ila why picha mnafuta
Mchumba[emoji7]
UNaweza kurekebisha mwandiko wako Mgirikipanther tafadhaliMajungu ya ukwel ila..
Sema Mkuu ELY anakufaidi kwel siku hizi me na wengine ngoja tuendelee kulalamika
🥂🥂
Nilikumiss eti[emoji177]
[emoji7][emoji7][emoji120][emoji120][emoji120]Asante sana my sister. Unaweza kufuatilia mafundisho ya Mwalimu katika channel yake ya Telegram. Alivunja makundi yote ya WhatsApp na kuhamia kwenye group moja tu la Telegram. Link hii hapa na Mungu Akubariki [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
![]()
MWAKASEGE (MANA MINISTRY)
➖MWONGOZO WA GROUP HILI :- 👉🏼https://bit.ly/MwongozoTelegramMANA ➖FUATANA NASI KATIKA MITANDAO YA KIJAMII: FACEBOOK, INSTAGRAM, YOUTUBE NA TELEGRAM KWA LINK HII:- 👉🏼https://bit.ly/33X8PSb 📧info@mwakasege.org 🔮www.mwakasege.orgt.me
Ubinadamu KwanzaWewe utakuwa mwanaume wa nguvu. Kila siku unakula ugali. Safi sana [emoji122][emoji122][emoji122]
Mmmmmh...... MgirikipantherTangu niseme nakusanya picha zake iko siku nitamkamilisha
sijawai kukutana na picha yake[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu ELY akiziona tu zinafutwa...
anakuwa kama kamfanyia dedication
Upo mwanza mitaa/wilaya gani mkuu?Mkuu niko mwanza kwa sasa...
[emoji1][emoji1]Hivi mnamjua vizuri Chakorii ?Itakuwa... Mkuu T 1990 ELY uwe unanitag bas Chakorii akifanya yake [emoji38]