Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Nipangie first eleven hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Kama Mimi tu,ila chama langu pendwa liver nawajua karibia wote.
Achana na kikosi kizima nataka first eleven tu
Nipangie first eleven hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Kama Mimi tu,ila chama langu pendwa liver nawajua karibia wote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa hiyo na wewe umekataa ofa yangu?
MweeeeHahahaha na nimevaa kiutumishi kabisa[emoji38][emoji38][emoji38]
😋😋😋 umefanya usingizi umepaa nimeanza kuwaza kupata helaBrunch [emoji39][emoji39][emoji39]
View attachment 1661892
Now si supper hii au?Brunch [emoji39][emoji39][emoji39]
View attachment 1661892
Ugali mweupe
Kwa nini braza?[emoji39][emoji39][emoji39] umefanya usingizi umepaa nimeanza kuwaza kupata hela
Asante kwa hii taarifa ndugu yangu.ukiwa unapata ratiba za mahubiri ya mwakasege naomba usisite kushare nasi au hata pm mkuu ukipendezwa.shukrani sana na ubarikiwe.siku yako leo ikawe ni yenye Baraka na mafaniki.Amen.[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1661981
Shida wa kupika sasa...🙄Kwa nini braza?
Unaweza kupika tu home. Mayai matatu na viazi basi. Nothing special [emoji16]
Hii inavyonesha ulaji wake ni tofauti....😂😂😂[emoji39][emoji39][emoji39]
View attachment 1661919
Be blessed[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1661981
Unazingua[emoji39][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1661981
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee hebu acha hizo bas.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mfalme njozi niko hapa
Baby relaaaax, we [emoji178]u moaaahKatika maisha yangu sikuwai fikilia kuwa sikj moja furaha inaweza gauka kilio siku moja the first time inantoikea hii...but niwatake radhi wote wana jf wote kwa huu uzi tumekuwa watu wenye furaha anytime ata chating zetu ilikuwa kama watu tunao juana kwa maan hyo nisinge penda kuwa chanzo cha watu kukosana kwa ajili yangu[emoji120] binafs sina furaha na huu uzi tena samahanini sana kwa ilo
# nawapenda sana.
Mambo hayakuwa mengi, simple tyuuuh.Am sure hii harusi ilikuwa na bajeti ya kizalendo sana..
Wee acha zako lete zawadi hapa.Mimi nimeshindwa kuiona vzr hiyo picha