T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,932
- 30,092
Nitakuwa na minguvu wapi bhasi arifuWe jamaa utakuwa unamiguvu sana
Moja tu chaaaaaaaaaali!!

Nje wa nchi
Nitakuwa na minguvu wapi bhasi arifuWe jamaa utakuwa unamiguvu sana

Naunga mkono hoja wallahMoja ya ujumbe wa kikatili sana katika huu uzi ni huu.. Bahati mbaya iwe ni picha mrembo mmoja katupia..View attachment 1662270
Husemi uongo ndugu yangu, ngoja vijana wafaidi mema ya nchi, pia wanaongeza umri wa kuishi duniani.Mkuu kuna wanaune wanafaidi sana angalia hayo mema ya nchi.....
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai
Nasema uongo ndugu yangu?
Kabisa mkuuHusemi uongo ndugu yangu, ngoja vijana wafaidi mema ya nchi, pia wanaongeza umri wa kuishi duniani.
Mwenye kisu kikali huwa ndio mla nyama. Wivu sina ila roho inaniuma.Hahaha....dada yangu wa hiari(kuwa na uhakika huo)
Utakuwa umezidiwa kete mkuu
Mtoto wa kishua. Hongera dear. He is handsome
Ubarikiwe mno ❤️ 😘😘👏👏👏👏Asante sana my sister. Unaweza kufuatilia mafundisho ya Mwalimu katika channel yake ya Telegram. Alivunja makundi yote ya WhatsApp na kuhamia kwenye group moja tu la Telegram. Link hii hapa na Mungu Akubariki
![]()
MWAKASEGE (MANA MINISTRY)
➖MWONGOZO WA GROUP HILI :- 👉🏼https://bit.ly/MwongozoTelegramMANA ➖FUATANA NASI KATIKA MITANDAO YA KIJAMII: FACEBOOK, INSTAGRAM, YOUTUBE NA TELEGRAM KWA LINK HII:- 👉🏼https://bit.ly/33X8PSb 📧info@mwakasege.org 🔮www.mwakasege.orgt.me
Tangu niseme nakusanya picha zake iko siku nitamkamilishaMoja ya ujumbe wa kikatili sana katika huu uzi ni huu.. Bahati mbaya iwe ni picha mrembo mmoja katupia..View attachment 1662270
Mkuu mbona umejitenga
Mkuu niko mwanza kwa sasa...
Itakuwa... Mkuu T 1990 ELY uwe unanitag bas Chakorii akifanya yake 😆Ongea na huyo ELY akupe connection. Pengine huwa zinawekwa kwa ajili yake tu![]()
Nikilud nitakuchek Mkuu
😅😅😅umeanza majungu😆😆😆😆😆Tangu niseme nakusanya picha zake iko siku nitamkamilisha
sijawai kukutana na picha yake😂😂😂
Mkuu ELY akiziona tu zinafutwa...
anakuwa kama kamfanyia dedication
Unajua wewe ni mtumishi wa Mungu😆😆😆huyu jamaa asikuambukize majungu😅😅😅Ongea na huyo ELY akupe connection. Pengine huwa zinawekwa kwa ajili yake tu![]()
Endelea kula samaki hakuna namna..usije ukazima buree 😅😅Mkuu niko mwanza kwa sasa...