T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,088
- 30,487
Za tangu jana njema/salama kabisa mkuuKwema Mkuuu za tangu jana...
Za tangu jana njema/salama kabisa mkuuKwema Mkuuu za tangu jana...
Ningekusikitikia na stress za kujitakia[emoji23]Mwe mie nikajua mnaongelea Picha
Mie ni Liverpool ma mkubwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtoto akiomba anapewa tu![emoji23]
Mbona sisi tupo na vitambi vinakuja[emoji23]
Kwa hiyo na wewe umekataa ofa yangu?Mwe mie nikajua mnaongelea Picha
Mie ni Liverpool ma mkubwa
..kwani mie mrefu sis darling! Kumbe ugonjwa wako wakaka warefu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmmmh!!!! Nyie ni Makada siyo mashabiki[emoji2] hiyo timu hama Shem..Mbona sisi tupo na vitambi vinakuja[emoji23]
..mimi ni mfupi chibonge halafu mweusi. Sidhani kama naangukia kwenye list yako..[emoji23]Eeh nawe sio haba. Yaani wakaka warefu weusi wanaifanya safari yangu ya kwenda mbinguni iwe ngumu kidogo teh
Hahahaha, kada Vs shabiki! Usituseme vibaya shem!Mmmmh!!!! Nyie ni Makada siyo mashabiki[emoji2] hiyo timu hama Shem..
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi nanyamaza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha, kada Vs shabiki! Usituseme vibaya shem!
..mimi ni mfupi chibonge halafu mweusi. Sidhani kama naangukia kwenye list yako..[emoji23]
Unyamaze tu kwa kweli manake unatutonesha vidonda[emoji23][emoji23]Basi nanyamaza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui hata niliiokota wapi!Aah wapi, kwani hiyo picha uliyotuma sio yako?
Sijui hata niliiokota wapi!
si hotel ya landmark.....nimesoma huko darasa la kwanza mpaka six.......maisha yamenifanya niwe mbali na tukuyu ila ndugu zangu wengi wako hukoha ha ha sasa mimi huko Landmark sipajui
upatembelee siku moja
Acha uchokozi kijana utakwenda na maji😅😅😅Nishajua wewe hauishi Tanzania
[emoji1]
Hahahaha na nimevaa kiutumishi kabisa[emoji38][emoji38][emoji38]Dooh
Yesu ataitangulia hiyo picha wallahi