Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Hey unavuka mipaka.heshimu watu.kucheka sana isifikie kukoseana adabu.kwenye hii comment naomba unitoe tafadhali.

Unapata wapi ujasiri huu wewe dada[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Nikikuambia namfahamu utabisha sio?
 
Jamanii eeeh ngojeni leo niwaambie najua mnajua wengi kuwa mtu chake ni mwanaume hapana sio mwanaume ni mwanamke [emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23]najua hamta niamin ila ukweli ndo uo [emoji1][emoji1][emoji1] kwa we Chakorii hyo ni mdada tena ni mzuri balaa sijaona wa kumfananisha alaf ajabu ni kwamba hakai Tz .


#habari mpya
Heeeeh wee hebu kua serious dea lol, mbona ni habari mpyaa hii duuh, ngumu kumeza.
 
Binamu niamin mimi nacho kuambia kama kaweka picha sio yake [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] ndo maan ata kuchat anachat hamalizi maneno maan anajua mtamshitukia [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Binamu huyo ni mwanaume, watu tunamjua muda mrefu alishapost hapa yupo maskani anagonga chai,
 
Mzee wanawake wengi tu mbona wanajikuta masela umu na vice versa pia.
Sikatai lakini sasa kama umekutana na watu humu awe jinsia ke au me cha msingi ni mawazo tu, ila ukitaka zaidi kama kukutana ndiyo unakutana na mambo tofauti mara kupewa ukimwi, mara kutapeliwa, mara kudanganywa, mara kuumizwa, mara kukutana na jinsia tofauti so mambo ni vurugu, jambo zuri ni kuchukulia jf kama sehemu ya kukurefresh akili na kujifunza mambo
 
Back
Top Bottom