[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Inagomaaa au sijui sababu nimefanana na ba mdogo
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]siwezi kushindana na wewe.
Nataka Depal na Saint anne ndio nishindane nao kwenye mambo ya miguu.
Hivi sasa ulitegemea Mimi nishindanishwe na miminimama na yna2.Hahahah ndo maana umekuja baada ya miminimama kushinda?
Hebu fanya km unajaribu[emoji23][emoji23][emoji23] nitawacha mbaliiiii shauri yenu.
😄😄hivyo hivyo visoup dish na mifupa ndo navyovitakaMshaniona kuna kitu kimebaki? Shingo Lina mifupa na visoup dish
Urembo[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]upi huo?na ulivyo mrembo watu tutapoteana humu ndani
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Tupia yako mkuu
Mkuu huu uzi ni shidaaaaaAcha kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]siwezi kushindana na wewe.
Nataka Depal na Saint anne ndio nishindane nao kwenye mambo ya miguu.
Mimi shindano najua sitashinda ila watufikirie na sisi ambao tunashindwa.
Zawadi itolewe kwa aliyeshinda na ambaye hajashinda[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Oya masela tangazeni basi kazi yangu kusifia naamini soda sikosi awamu hii
Miminimama kanizika huku najiona
Hivi sasa ulitegemea Mimi nishindanishwe na miminimama na yna2.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji102][emoji102][emoji102]Stress reliever [emoji39]View attachment 1221818View attachment 1221819
Hata mimi nilitegemea awe kama ashaboko kumbe katoto kadogo kadogo mwanaume anakabeba na kukimbia nako.Watu ni waongo humu saint alinizuga juzi eti ana kitambi kumbe kiuno nyigu
[emoji28][emoji28][emoji28]unanijua vizuri sana.
Ila endelea kunifananisha kwa muda.
Kusiwe na option ya delete kwa uhai wa huu uziKipi?